JK apinga serikali tatu
RAIS Jakaya Kikwete amefanya kampeni ya wazi kutetea mfumo wa serikali mbili unaopiganiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akitumia muda mrefu kujaribu kuonyesha ‘ubaya’ wa mfumo wa serikali tatu....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo20 Feb
Masaburi apinga serikali kuwa tajiri, wananchi masikini
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) Dk Didas Masaburi amesema jumuiya hiyo itapigana kufa au kupona kuona Tanzania inabadili mfumo wa sasa wa uendeshaji wa serikali unaolenga kuifanya serikali kuwa tajiri kuliko wananchi, hatua ambayo imekuwa inawafanya wananchi kukimbilia siasa na kufanya kazi serikalini kama njia ya kuwa na maisha bora.
10 years ago
Vijimambo16 Apr
WAZIRI KIVULI WA ELIMU APINGA SERIKALI KUWATAKA WALIMU KUJIELEZA KWA WAKUU WA MIKOA
Na MwandishiWetu
WAZIRI kivuli wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Suzan Lymo, amepinga kitendo cha serikali cha kuwataka walimu waliofunga shule kutokana na uhaba wa chakula waende wakajieleze kwa Mkuu wa Mkoa kutokana na hatua hiyo.
Suzan, alitoa kauli hiyo baada ya serikali kudai...
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Serikali yatumia makanisa kupinga serikali tatu
SERIKALI imeendelea kuibeza rasimu ya pili ya katiba iliyowasilishwa bungeni na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba kwa madai kuwa imekuja na hoja ya...
11 years ago
Habarileo31 Dec
‘Ni serikali tatu’
MUUNDO wa serikali tatu umeendelea kuwa ndani ya Rasimu ya Katiba iliyokabidhiwa jana kwa Rais Jakaya Kikwete kutokana na ambacho Tume ya Mabadiliko ya Katiba imesema ndiyo itakuwa suluhu ya malalamiko juu ya kero za Muungano.
11 years ago
Habarileo17 Jan
‘Tujaribu serikali tatu’
MCHAMBUZI wa masuala ya siasa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk Benson Bana, ameshauri Watanzania kujaribu mapendekezo ya Rasimu ya Pili ya Katiba, ya mfumo wa Muungano wa serikali tatu bila hofu na kukabili changamoto zake.
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
Wapinga serikali tatu
KAMATI ya vijana wapenda amani na viongozi wa dini ya Kiislamu wametoa wito kwa vijana kupinga pendekezo la serikali tatu lililomo kwenye rasimu ya pili ya Katiba. Akizungumza na waandishi...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
Warioba: Serikali tatu si mzigo
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini, Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, ametetea muundo wa serikali tatu kuwa hauna gharama, tofauti na inavyotafsiriwa na wengi. Mbali na kutetea gharama...
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Wasomi waponda serikali tatu
WASOMI nchini wamezidi kukataa muundo wa serikali tatu wakidai hauna manufaa kwa Watanzania. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Profesa Bonaventure Rutinwa wa Chuo Kikuu cha Dar...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Serikali tatu pasua kichwa
SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kukabidhi rasimu ya pili ya mabadiliko ya katiba kwa Rais Jakaya Kikwete, suala la muundo wa...