Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasomi waponda serikali tatu

WASOMI nchini  wamezidi kukataa muundo wa serikali tatu wakidai hauna manufaa kwa Watanzania. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Profesa Bonaventure Rutinwa  wa  Chuo Kikuu cha Dar...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wasomi wagawanyika kuhusu Serikali Tatu

Pendekezo la muundo wa Serikali Tatu lililomo katika Rasimu ya Pili ya Katiba, limewagawa wasomi na wanazuoni katika vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za elimu ya juu nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Wasomi wanavyokosoa mahesabu ya Serikali tatu

>Rasimu ya pili ya Katiba imetoka hivi karibuni ikipendekeza Muungano wa Serikali tatu – Serikali ya Jamhuri ya Muungano, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Tanganyika.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasomi wanalilia serikali tatu, tunawaelewa?

VUTA nikuvute ya Katiba mpya imefika pazuri ambapo ingekuwa ligi ya soka tungesema imefikia ‘patamu’. Hoja hii inatokana na mivutano inayoendelea chini kwa chini kutoka vyama vya siasa na makundi...

 

11 years ago

Habarileo

Wasomi wapinga mfumo Serikali 3

Mkurugenzi Mtendaji wa Mpango wa Utafiti wa Vyuo Vikuu Kusini Mashariki mwa Afrika (ESAURP), Profesa Ted Maliyamkono (kulia) akikabidhi kitabu cha Katiba Bora Tanzania kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samia Suluhu Hassan wakati yeye na wanataaluma wenzake walipokutana na Makamu Mwenyekiti huyo mjini Dodoma jana. (Na Mpigapicha Wetu).WASOMI wamepinga muundo wa Serikali tatu na kusisitiza zibaki Serikali mbili, huku maandalizi yakifanyika kuelekea Serikali moja.

 

11 years ago

Habarileo

Wasomi washikilia Serikali moja

WASOMI wa Taasisi ya Utafiti ya Umoja wa Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki na Kusini (ESAURP) , wametoa msimamo wao na kutaka mfumo wa Serikali moja, huku wakipinga wa Serikali tatu uliopendekezwa katika Rasimu ya Katiba iliyotolewa hivi karibuni na Tume ya Marekebisho ya Katiba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yatumia makanisa kupinga serikali tatu

SERIKALI imeendelea kuibeza rasimu ya pili ya katiba iliyowasilishwa bungeni na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba kwa madai kuwa imekuja na hoja ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali iunge mkono wajasiriamali wasomi

Serikali imeshauriwa kuwaunga mkono wahitimu wanaomaliza vyuo vikuu, ambao huamua kujiajiri, ili kuwapa hamasa ya kujiendeleza kimaisha.

 

11 years ago

Habarileo

Wasomi wasisitiza utaifa unawezekana serikali 2

MKOA wa Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) umesema misingi ya utaifa na umoja wake inawezekana tu nchini hapa kwa kuwa na mfumo wa serikali mbili. Aidha, Mkoa huo umesema kwamba fikira za waasisi wa aina ya Muungano zililenga mbali zaidi ya ushirikiano na hivyo ipo haja ya kuendelea kuenzi muundo huo kwa manufaa ya taifa.

 

11 years ago

Habarileo

‘Ni serikali tatu’

Rais Jakaya Kikwete (kulia) akipokea rasimu ya Katiba Mpya kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba mpya, Jaji Joseph Warioba wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika Dar es Salaam jana. (Picha na Mpigapicha wetu).MUUNDO wa serikali tatu umeendelea kuwa ndani ya Rasimu ya Katiba iliyokabidhiwa jana kwa Rais Jakaya Kikwete kutokana na ambacho Tume ya Mabadiliko ya Katiba imesema ndiyo itakuwa suluhu ya malalamiko juu ya kero za Muungano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani