Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasomi washikilia Serikali moja

WASOMI wa Taasisi ya Utafiti ya Umoja wa Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki na Kusini (ESAURP) , wametoa msimamo wao na kutaka mfumo wa Serikali moja, huku wakipinga wa Serikali tatu uliopendekezwa katika Rasimu ya Katiba iliyotolewa hivi karibuni na Tume ya Marekebisho ya Katiba.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wasomi wapinga mfumo Serikali 3

Mkurugenzi Mtendaji wa Mpango wa Utafiti wa Vyuo Vikuu Kusini Mashariki mwa Afrika (ESAURP), Profesa Ted Maliyamkono (kulia) akikabidhi kitabu cha Katiba Bora Tanzania kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samia Suluhu Hassan wakati yeye na wanataaluma wenzake walipokutana na Makamu Mwenyekiti huyo mjini Dodoma jana. (Na Mpigapicha Wetu).WASOMI wamepinga muundo wa Serikali tatu na kusisitiza zibaki Serikali mbili, huku maandalizi yakifanyika kuelekea Serikali moja.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasomi waponda serikali tatu

WASOMI nchini  wamezidi kukataa muundo wa serikali tatu wakidai hauna manufaa kwa Watanzania. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Profesa Bonaventure Rutinwa  wa  Chuo Kikuu cha Dar...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasomi wanalilia serikali tatu, tunawaelewa?

VUTA nikuvute ya Katiba mpya imefika pazuri ambapo ingekuwa ligi ya soka tungesema imefikia ‘patamu’. Hoja hii inatokana na mivutano inayoendelea chini kwa chini kutoka vyama vya siasa na makundi...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali iunge mkono wajasiriamali wasomi

Serikali imeshauriwa kuwaunga mkono wahitimu wanaomaliza vyuo vikuu, ambao huamua kujiajiri, ili kuwapa hamasa ya kujiendeleza kimaisha.

 

11 years ago

Mwananchi

Wasomi wagawanyika kuhusu Serikali Tatu

Pendekezo la muundo wa Serikali Tatu lililomo katika Rasimu ya Pili ya Katiba, limewagawa wasomi na wanazuoni katika vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za elimu ya juu nchini.

 

11 years ago

Habarileo

Wasomi wasisitiza utaifa unawezekana serikali 2

MKOA wa Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) umesema misingi ya utaifa na umoja wake inawezekana tu nchini hapa kwa kuwa na mfumo wa serikali mbili. Aidha, Mkoa huo umesema kwamba fikira za waasisi wa aina ya Muungano zililenga mbali zaidi ya ushirikiano na hivyo ipo haja ya kuendelea kuenzi muundo huo kwa manufaa ya taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Wasomi wanavyokosoa mahesabu ya Serikali tatu

>Rasimu ya pili ya Katiba imetoka hivi karibuni ikipendekeza Muungano wa Serikali tatu – Serikali ya Jamhuri ya Muungano, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Tanganyika.

 

9 years ago

BBCSwahili

Polisi Ulaya washikilia watu 17

Polisi katika nchi sita za Ulaya wamewakamata watu 17, kwa tuhuma za kupanga mashambulizi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji wa Kurdi washikilia Monsul

Wapiganaji wa Ki Kurdi waliopo kaskazini mwa iraq wamesema kuwa kwa sasa wanadhibiti eneo lote la bwawa la Monsul.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani