Wapiganaji wa Kurdi washikilia Monsul
Wapiganaji wa Ki Kurdi waliopo kaskazini mwa iraq wamesema kuwa kwa sasa wanadhibiti eneo lote la bwawa la Monsul.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar11 Sep
Nani kamuua Aylan Kurdi?
Na Rashid Abdallah ‘Kukimbia kosa’ mfano wake ni kile kinachofanywa na watu wa Mashariki ya Kati kisha lawama zao wanazitupa kwa Wazungu.Wamemuua mtoto wao kisha lawama zao wanamuelekezea Uncle Sam na vibaraka wake. Picha ya maiti […]
The post Nani kamuua Aylan Kurdi? appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Habarileo24 Apr
Undugu wa Tanzania washikilia Muungano
WAKATI hoja za kubatilisha Muungano uliodumu kwa miaka 50 sasa zikizidi kupoteza nguvu, Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Riziki Said Lulida, ameonya Watanzania kuacha kubaguana kwa misingi ya upande wa Muungano kwa kuwa wao ni ndugu wa damu.
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Ukawa washikilia msimamo wao
10 years ago
Habarileo16 Jul
CUF ‘washikilia’ urais wa Ukawa
KITENDAWILI cha Chama cha Wananchi (CUF) kuridhia hoja ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kusimamisha mgombea mmoja wa nafasi ya urais kwa upande wa vyama vya upinzani, kinatarajiwa kuteguliwa Jumamosi ya wiki ijayo, ambapo Baraza Kuu la Uongozi wa Taifa wa chama hicho litakaa kujadili na kutoa uamuzi.
11 years ago
Habarileo19 Feb
Wasomi washikilia Serikali moja
WASOMI wa Taasisi ya Utafiti ya Umoja wa Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki na Kusini (ESAURP) , wametoa msimamo wao na kutaka mfumo wa Serikali moja, huku wakipinga wa Serikali tatu uliopendekezwa katika Rasimu ya Katiba iliyotolewa hivi karibuni na Tume ya Marekebisho ya Katiba.
9 years ago
BBCSwahili13 Nov
Polisi Ulaya washikilia watu 17
10 years ago
BBCSwahili18 Aug
Wakurdi washikilia Bwawa muhimu Iraq
11 years ago
BBCSwahili19 Dec
Waasi Sudan Kusini washikilia mji wa Bor
11 years ago
Habarileo09 Feb
Polisi washikilia vijana wawili kwa noti bandia
POLISI mkoani hapa inawashikilia vijana wawili kwa tuhuma za kukutwa na noti bandia zenye thamani ya Sh 285,000.