Waasi Sudan Kusini washikilia mji wa Bor
Waasi Sudan Kusini wametwaa mji wa Bor uliopo kilimita 200 kaskazini mwa mji mkuu Juba
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili20 Jul
Sudan Kusini:Waasi wauteka mji wa Nasir
Waasi nchini Sudan Kusini wanasema kuwa wameuteka mji muhimu wa Nasir katika jimbo la upper Nile.
11 years ago
BBCSwahili20 Jan
Mji wa Bor S.Kusini wageuka mahame
Mji wa Bor uliokombolewa hivi karibuni na wanajeshi wa Serikari umeharibika kabisa kufuatia mapambano na waasi.
11 years ago
BBCSwahili05 Jan
Jenerali wa Sudan Kusini auwawa Bor.
Mapigano makali yamezuka nje ya mji mkuu wa Sudan Kusini wa Bor na Jenerali mmoja wa jeshi la Sudan Kusini ameuwawa.
11 years ago
BBCSwahili19 Apr
Utulivu warejea huko Bor Sudan Kusini
Jeshi la Sudan Kusini limesema kuwa hali imetulia katika mji wa Bor ,siku mbili baada ya takriban watu 48 kuuawa.
11 years ago
BBCSwahili21 Jan
Sudan Kusini yakataa matakwa ya waasi
Rais wa Sudan Kusini asema wafungwa wa kisiasa wanaozuliwa hawataachiliwa huru na kuwa yuko tayari kumsamehe Riek Machar
11 years ago
BBCSwahili19 Feb
Wanajeshi waasi jeshi Sudan Kusini
Kinara wa serikali Tulklio Odongi aliambia bunge siku ya Jumatatu kuwa hadi 70% ya wanajeshi wa serikali wanageuka na kuwa watiifu kwa Riek Machar pamoja na kuasi jeshi.
11 years ago
BBCSwahili22 Apr
Waasi wa Sudan Kusini wakana mauaji
Waasi nchini Sudan Kusini wamekanusha madai yaliyotolewa na Umoja wa Mataifa kuwa waliwaua raia mjini Bentiu kwa misingi ya ukabila.
11 years ago
BBCSwahili18 Jan
Pigo kwa waasi Sudan Kusini
Serikali ya Sudan Kusini inasema kuwa jeshi lake limekomboa mji wa Bor kutoka kwa waasi wa Riek Machar.
10 years ago
BBCSwahili28 Jan
Waasi Sudan Kusini wawaachia huru watoto
Waasi nchini Sudani kusini wamewaachia huru kundi la kwanza la watoto waliokuwa wamechukuliwa kuwa wanajeshi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania