Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waasi wa Sudan Kusini wakana mauaji

Waasi nchini Sudan Kusini wamekanusha madai yaliyotolewa na Umoja wa Mataifa kuwa waliwaua raia mjini Bentiu kwa misingi ya ukabila.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Pigo kwa waasi Sudan Kusini

Serikali ya Sudan Kusini inasema kuwa jeshi lake limekomboa mji wa Bor kutoka kwa waasi wa Riek Machar.

 

11 years ago

BBCSwahili

Sudan Kusini yakataa matakwa ya waasi

Rais wa Sudan Kusini asema wafungwa wa kisiasa wanaozuliwa hawataachiliwa huru na kuwa yuko tayari kumsamehe Riek Machar

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi waasi jeshi Sudan Kusini

Kinara wa serikali Tulklio Odongi aliambia bunge siku ya Jumatatu kuwa hadi 70% ya wanajeshi wa serikali wanageuka na kuwa watiifu kwa Riek Machar pamoja na kuasi jeshi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waasi Sudan Kusini wawaachia huru watoto

Waasi nchini Sudani kusini wamewaachia huru kundi la kwanza la watoto waliokuwa wamechukuliwa kuwa wanajeshi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waasi Sudan Kusini washikilia mji wa Bor

Waasi Sudan Kusini wametwaa mji wa Bor uliopo kilimita 200 kaskazini mwa mji mkuu Juba

 

11 years ago

BBCSwahili

Sudan Kusini:Waasi wauteka mji wa Nasir

Waasi nchini Sudan Kusini wanasema kuwa wameuteka mji muhimu wa Nasir katika jimbo la upper Nile.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa waasi atishia kufufua vita Sudan Kusini

Kiongozi mmoja wa waasi nchini Sudan Kusini ametishia kuanza tena mapigano, akisema serikali inahujumu mkataba wa amani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waasi wakana kutungua ndege ya UN

Waasi nchini Sudan wamekanusha madai kuwa walitungua helikopta moja ya Umoja wa Mataifa, katika mji wa Bentiu

 

10 years ago

BBCSwahili

Waasi wa M23 wakana kutenda uovu

Kundi la wasi la M23 limekanusha madai ya kufanya uovu kama vile mauji ya kiholela pamoja na ubakaji katika eneo lililokuwa likidhidhiti katika Kivu Kaskazini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani