Waasi wa M23 wakana kutenda uovu
Kundi la wasi la M23 limekanusha madai ya kufanya uovu kama vile mauji ya kiholela pamoja na ubakaji katika eneo lililokuwa likidhidhiti katika Kivu Kaskazini.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili27 Aug
Waasi wakana kutungua ndege ya UN
Waasi nchini Sudan wamekanusha madai kuwa walitungua helikopta moja ya Umoja wa Mataifa, katika mji wa Bentiu
11 years ago
BBCSwahili22 Apr
Waasi wa Sudan Kusini wakana mauaji
Waasi nchini Sudan Kusini wamekanusha madai yaliyotolewa na Umoja wa Mataifa kuwa waliwaua raia mjini Bentiu kwa misingi ya ukabila.
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Viongozi msiunde umoja wa uovu
Kwa hulka na desturi yangu, wanasiasa ni kati ya watu nisiowaamini kutokana na misimamo yao kutoeleweka dhahiri au kuyumba kulingana na muda na masilahi yao binafsi.
10 years ago
Habarileo25 Dec
UKAWA wataka sheria ya maadili inayodhibiti uovu
VYAMA vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), vimetaka sheria ya maadili itungwe upya ili kuweka uwazi wa watu wote kuona taarifa ya mali za viongozi.
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-ZYpu-88N1RM/VYPm7MD7SdI/AAAAAAABQXs/OLmpnhkMFWs/s72-c/WASIRA.jpg)
SINA MAJINA YA MAFISADI, INGAWA UOVU HUU UMO NDANI YA VYAMA VYA SIASA
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZYpu-88N1RM/VYPm7MD7SdI/AAAAAAABQXs/OLmpnhkMFWs/s640/WASIRA.jpg)
Wasira anayeongozwa na kauli mbiu ya Uadilifu na Umoja wa Watanzania; Safari ya Uhakika, alisema hayo wakati akizungumza na wana-CCM waliomdhamini katika mikoa ya Rukwa na Katavi jana.
Alisema CCM na serikali yake ni taasisi zilizo na misingi ya uadilifu, ingawa ndani yake...
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Wapiganaji wa M23 kurudi DRC
Rais wa kundi la waasi wa M23 amesema kuwa wapiganaji zaidi ya mia moja wa kundi hilo walioko nchini Uganda hawajatoroka .
10 years ago
BBCSwahili09 Oct
UN:M23 walibaka mamia ya wanawake
Kikosi cha UN katika Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, kimetuhumu kundi la waasi wa zamani M23 kwa kufanya uovu mkubwa ikiwemo ubakaji
11 years ago
BBCSwahili12 Dec
UG na Malawi waidhinisha mkataba wa M23
Rais wa Malawi Joyce Banda na mwenzake wa Uganda Yoweri Museveni wasaini kuwa wadhamini kwa mkataba wa amani kati ya DRC na M23.
11 years ago
BBCSwahili05 Jun
DRC yailaumu Rwanda kuwalinda M23
Serikali ya DR Congo imeilaumu Rwanda kwa kuwalinda wapiganaji wa M23.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania