Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKAWA wataka sheria ya maadili inayodhibiti uovu

Viongozi wa Ukawa.VYAMA vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), vimetaka sheria ya maadili itungwe upya ili kuweka uwazi wa watu wote kuona taarifa ya mali za viongozi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mashahidi walieleza Baraza la Maadili jinsi Mkuu wa Wilaya ya Korogwe alivyokiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Na  Ally Mataula – Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Ikiwa ni siku ya nne tangu Baraza la Maadili lianze kusikiliza mashauri ya ukiukwaji wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma dhidi ya Viongozi mbalimbali wa umma, Baraza hilo limeendelea kusikiliza ushahidi kutoka upande wa Walalamikaji dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Gambo.  Mhe. Gambo analalamikiwa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa Matumizi mabaya ya uongozi yakiwemo matumizi ya lugha chafu,...

 

9 years ago

Habarileo

Polisi wataka vyama kuheshimu maadili

KAMISHNA wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Omar Hamdani amewataka viongozi wa vyama vya siasa, kuheshimu maadili na kuzingatia sheria za uchaguzi ili kulinda amani na utulivu.

 

10 years ago

Mwananchi

Sheria ya Maadili ya Viongozi ni butu

Habari kwamba idadi kubwa ya viongozi hawajatangaza mali zao kwa mwaka uliopita zimetushangaza.

 

5 years ago

Michuzi

Waandishi zingatieni maadili, sheria


Na. Vero Ignatus

CHAMA cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania(JOWUTA) kimesisitiza umuhimu wa waandishi wa habari nchini kuendelea kuzingatia maadili, kanuni na sheria katika utekelezaji wa majukumu yao katika kipindi hiki cha mapambano dhidi ya janga la ugonjwa wa homa kali ya mapafu COVID19.

Akitoa salamu za maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Habari Duniani leo, Mwenyekiti wa JOWUTA, Claud Gwandu alisema uhuru wa habari, maadili, haki, usawa ni nguzo muhimu za kuzingatiwa na wanahabari...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mkapa atetea sheria ya maadili ya viongozi

RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, amesema kuwa mgongano wa maslahi miongoni mwa viongozi na watumishi wa Umma, unatokana na kutumia madaraka waliyonayo kuendeleza maslahi binafsi. Mkapa aliyasema...

 

11 years ago

Mwananchi

Kenya wataka sheria ya ushoga

>Mbunge Irungu Kang’ata anaongoza juhudi za kundi lililoundwa la kupinga wapenzi wa jinsia moja nchini  Kenya. Sheria zilizopo zinasema ni hatia kwa watu kujiingiza katika tabia za ushoga na adhabu yake ni kifungo cha miaka 14 jela.

 

10 years ago

Habarileo

Wataka Sheria ya Manunuzi kurejewa

SERIKALI imeombwa kuifanyia marekebisho Sheria ya Manunuzi ya Umma ili kuondoa baadhi ya vipengele ambavyo hutumiwa na watumishi wasio waaminifu kama mwanya wa kujinufaisha wao binafsi.

 

9 years ago

Michuzi

MAWAKILI ZINGATIENI MAADILI YA TAALUMA YA SHERIA – JAJI MKUU

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande amewataka Mawakili kote nchini kufanya kazi zao kwa kuzingatia weledi na maadili ya taaluma ya Sheria na kwamba wasisite kuwaeleza ukweli wateja wao wanaopeleka mashauri Mahakamani ili kuepuka kupoteza muda na gharama katika masuala yanayoweza kupatiwa ufumbuzi nje ya Mahakama.  Akizungumza na Mawakili wapya 104 waliohitimu Shule ya Sheria kwa mwaka 2015 wakati wa hafla ya 53 ya kuwapokea na kuwaapisha iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee leo...

 

11 years ago

Habarileo

Wataka sheria iruhusu wazazi wachapwe

BAADHI ya wazazi wa kata ya Lusaka wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa wametaka sheria ndogo itakayowapatia uwezo wa kisheria walimu wa shule za msingi na sekondari kuwapiga viboko baadhi ya wazazi wanaokataa kugharamia mahitaji ya watoto wao shuleni ikiwemo kutolipa ada za shule.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani