Mashahidi walieleza Baraza la Maadili jinsi Mkuu wa Wilaya ya Korogwe alivyokiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.
![](http://4.bp.blogspot.com/-K39u0MN_Ukg/VD6vGCFlaNI/AAAAAAAGqt0/b4nhcBByfs0/s72-c/unnamed%2B(32).jpg)
Na Ally Mataula – Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Ikiwa ni siku ya nne tangu Baraza la Maadili lianze kusikiliza mashauri ya ukiukwaji wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma dhidi ya Viongozi mbalimbali wa umma, Baraza hilo limeendelea kusikiliza ushahidi kutoka upande wa Walalamikaji dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Gambo. Mhe. Gambo analalamikiwa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa Matumizi mabaya ya uongozi yakiwemo matumizi ya lugha chafu,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tC0Ms9m0wIc/XmikI5QGaLI/AAAAAAALijE/aVrHM5nd75UcGd4g4AblUiQqaO9rvnBDgCLcBGAsYHQ/s72-c/picha%2B1.jpg)
Wajumbe wa Baraza la Maadili wafanya Ziara Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma
![](https://1.bp.blogspot.com/-tC0Ms9m0wIc/XmikI5QGaLI/AAAAAAALijE/aVrHM5nd75UcGd4g4AblUiQqaO9rvnBDgCLcBGAsYHQ/s640/picha%2B1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-l5XlGmBTCic/XmikI1Bv_uI/AAAAAAALijM/Go9M5LmME3wzjeVSCXYFLMS-kTNmsEO7ACLcBGAsYHQ/s640/picha%2B2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-z0yZOe-i_N0/VDaX4BcYotI/AAAAAAAGo1I/3EtYjsPjM9o/s72-c/unnamed%2B(27).jpg)
News Alert: Baraza la Maadili latoa amri ya kukamatwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe
Baraza la Maadili limetoa amri ya kukamatwa mara moja Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Gambo kwa kukaidi wito wa kufika mbele ya Baraza hilo kujibu tuhuma zinazomkabili.
Akizungumza baada ya kuahirisha kikao cha Baraza hilo lililoanza vikao vyake tarehe 9/10/2014, Mwenyekiti wa Baraza la Maadili Mhe Balozi Jaji (Mst.) Hamisi Msumi alisema kuwa amri hiyo imetolewa kwa mujibu wa fungu la 24 (4) la Sheria ya Maadili ...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-us5MelaC8Lk/VDwrCg8AUKI/AAAAAAAGp9s/3TvtXdGzIFA/s72-c/unnamed.jpg)
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora wapandishwa kizimbani Baraza la Maadili.
![](http://4.bp.blogspot.com/-us5MelaC8Lk/VDwrCg8AUKI/AAAAAAAGp9s/3TvtXdGzIFA/s1600/unnamed.jpg)
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Mashaka Gambo leo amefikishwa mbele ya Baraza la Maadili ili kujibu tuhuma...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-YxVE38edN7A/VDg9yxcxuiI/AAAAAAAGpDM/YKyctKBCuEI/s72-c/unnamed%2B(40).jpg)
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe ajisalimisha kwenye Baraza la Maadili na kupewa onyo, Nchambi apewa nafasi kufika kikao
Wakati Vikao vya Baraza la Maadili vikiendelea siku yake ya pili kusikiliza mashauri ya ukiukwaji wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Na. 13 ya 1995, Baraza hilo likiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Balozi Jaji (Mst.) Hamisi Msumi limetoa onyo kwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Gambo kwa kukaidi wito wa kufika mbele ya Baraza hilo kujibu tuhuma zinazomkabili.
Kwa mujibu wa maelezo kutoka kwa Mwanasheria wa Sekretarieti...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-K-WRxy3gYEA/U5rESXxe5oI/AAAAAAAFqUU/yt5xYL2Wfgo/s72-c/unnamed.jpg)
Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wahimizwa kuzingatia Maadili.
10 years ago
VijimamboTAKUKURU YAMKINGIA KIFUA MKURUGENZI WA MANISPAA YA TABORA MBELE YA BARAZA LA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA
Na Dotto Mwaibale
KAMANDA wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Wilaya ya Mkuranga, Damas...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
SAKATA LA ESCROW: ANDREW CHENGE AMEKATAA KUHOJIWA NA BARAZA LA SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-LuR_yz-NAoQ/U6RAwRz5n6I/AAAAAAAFr-o/_q19glYltwQ/s72-c/No.+1.jpg)
Wananchi wahimizwa kutembelea Banda la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
Wananchi wamehimizwa kutembelea banda la Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Wito huo umetolewa na Afisa wa Maadili Mwandamizi Bw. Bazilio Mwanakatwe wakati akizungumza na Waandishi wa Habari waliotembelea banda la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika maonesho hayo.
Bw. Mwanakatwe aliendelea kubainisha kuwa...
10 years ago
Uhuru NewspaperNgeleja mbele ya Baraza la Maadili ya Watumishi wa Umma...