Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wahimizwa kuzingatia Maadili.

Na. Ally Mataula Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wametakiwa kuzingatia maadili wanapokuwa wanatimiza majukumu yao ya kila siku. Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Ikulu Bw. Peter Ilomo wakati akifungua Mkutano wa kumi na mbili wa Baraza la Wafanyakazi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma uliofanyika Jijini Mbeya tarehe 28 Mei, 2014. Bw. Ilomo alisema kuwa jukumu kubwa la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni kusimamia Maadili ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Wananchi wahimizwa kutembelea Banda la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
Wananchi wamehimizwa kutembelea banda la Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Wito huo umetolewa na Afisa wa Maadili Mwandamizi Bw. Bazilio Mwanakatwe wakati akizungumza na Waandishi wa Habari waliotembelea banda la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika maonesho hayo.
Bw. Mwanakatwe aliendelea kubainisha kuwa...
5 years ago
Michuzi
Wajumbe wa Baraza la Maadili wafanya Ziara Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma


9 years ago
Michuzi
Watumishi wa Sekretarieti ya Ajira watakiwa kuzingatia Maadili

9 years ago
Dewji Blog29 Dec
Watumishi wa Sekretarieti ya Ajira nchini watakiwa kuzingatia Maadili!!
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki akipata maelezo kutoka kwa watendaji wa Sekretarieti ya ajira (hawapo pichani) alipofanya ziara katika ofisi hiyo, mapema leo Desemba 29.
Na Kassim Nyaki, Afisa Mawasiliano Sekretarieti ya Ajira
Watumishi wa Sekretarieti ya Ajira wameaswa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma katika kutekeleza majukumu yao, kwa kuwa kazi wanayoifanya ni nyeti na inagusa maisha ya watu ambayo itahitaji watu...
10 years ago
Uhuru Newspaper12 Mar
Watumishi wa umma watakiwa kuzingatia miiko na maadili
NA KHADIJA MUSSA
MWENYEKITI wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Dk. Stephen Bwana, amewataka watumishi wa umma kujiepusha na ushabiki wa siasa za mpito, badala yake wazingatie katiba, miiko na maadili ya utumishi wa umma.
Alisema kuna upungufu katika uzingatiaji wa maadili, hivyo aliwataka watumishi hao kubadilika na kutojihusisha na ushabiki wa siasa, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu kwani hakuna nchi duniani, ambayo watumishi wake hawazingatii maadili.
Pia aliahidi...
10 years ago
GPL
SAKATA LA ESCROW: ANDREW CHENGE AMEKATAA KUHOJIWA NA BARAZA LA SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA
11 years ago
Michuzi
WATUMISHI WA UMMA WAASWA KUZINGATIA KANUNI ZA MAADILI YA UTENDAJI KAZI ILI KUJENGA UTAWALA BORA.
Rai hiyo imetolewa na Kamishna wa Maadili Mhe. Jaji (Mst.) Salome Kaganda wakati akizindua filamu ya “The Minister” iliyoandaliwa na Kampuni ya Equity Links Enterprises (ELE) katika ukumbi wa CENTURY CINEMAX THEATRE Jijini Dar es Salaam.
Mhe. Kaganda alifafanua kuwa katika utumishi wa umma kuna Kanuni za Maadili ya utendaji ...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Mashahidi walieleza Baraza la Maadili jinsi Mkuu wa Wilaya ya Korogwe alivyokiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
Wanahabari wahimizwa kuzingatia maadili
WAANDISHI wa habari mkoani Mtwara wametakiwa kusimamia, kuzingatia na kufuata misingi ya maadili ya kazi zao kwa kuandika habari zenye usahihi na ukweli ambazo zimefanyiwa uchunguzi wa kina ili kuleta...