Ngeleja mbele ya Baraza la Maadili ya Watumishi wa Umma...
MBUNGE wa Sengerema ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, akiingia katika ukumbi wa Kariamjee, Dar es Salaam jana kuhojiwa na Baraza la Maadili ya Watumishi wa umma kuhusiana na tuhuma za kukiuka sheria ya maadili katika sakata la akaunti ya Tegeta Escrow.
Ngeleja akisikiliza kwa makini hoja zilizokuwa zikitolewa na wanasheria wa Serikali(hawako pichani) huku akiwa ameshika tama wakati kikao cha baraza hilo kikiendelea.
Ngeleja akikagua baadhi ya nyalaka...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboTAKUKURU YAMKINGIA KIFUA MKURUGENZI WA MANISPAA YA TABORA MBELE YA BARAZA LA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA
Na Dotto Mwaibale
KAMANDA wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Wilaya ya Mkuranga, Damas...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-K-WRxy3gYEA/U5rESXxe5oI/AAAAAAAFqUU/yt5xYL2Wfgo/s72-c/unnamed.jpg)
Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wahimizwa kuzingatia Maadili.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tC0Ms9m0wIc/XmikI5QGaLI/AAAAAAALijE/aVrHM5nd75UcGd4g4AblUiQqaO9rvnBDgCLcBGAsYHQ/s72-c/picha%2B1.jpg)
Wajumbe wa Baraza la Maadili wafanya Ziara Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma
![](https://1.bp.blogspot.com/-tC0Ms9m0wIc/XmikI5QGaLI/AAAAAAALijE/aVrHM5nd75UcGd4g4AblUiQqaO9rvnBDgCLcBGAsYHQ/s640/picha%2B1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-l5XlGmBTCic/XmikI1Bv_uI/AAAAAAALijM/Go9M5LmME3wzjeVSCXYFLMS-kTNmsEO7ACLcBGAsYHQ/s640/picha%2B2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-K39u0MN_Ukg/VD6vGCFlaNI/AAAAAAAGqt0/b4nhcBByfs0/s72-c/unnamed%2B(32).jpg)
Mashahidi walieleza Baraza la Maadili jinsi Mkuu wa Wilaya ya Korogwe alivyokiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.
10 years ago
Mtanzania03 Mar
Baraza la Maadili kumweka kikaangoni Ngeleja
Aziza Masoud na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
BARAZA la Maadili ya Utumishi wa Umma jana liliahirisha shughuli za kumhoji Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma, baada ya eneo la mahojiano, Ukumbi wa Karimjee kutumika kwa shughuli za kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba.
Kutokana na hali hiyo, baraza hilo litaendelea na shughuli zake leo ambapo Mujunangoma atahojiwa kutokana na tuhuma za kupokea...
10 years ago
Uhuru Newspaper12 Mar
Watumishi wa umma watakiwa kuzingatia miiko na maadili
NA KHADIJA MUSSA
MWENYEKITI wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Dk. Stephen Bwana, amewataka watumishi wa umma kujiepusha na ushabiki wa siasa za mpito, badala yake wazingatie katiba, miiko na maadili ya utumishi wa umma.
Alisema kuna upungufu katika uzingatiaji wa maadili, hivyo aliwataka watumishi hao kubadilika na kutojihusisha na ushabiki wa siasa, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu kwani hakuna nchi duniani, ambayo watumishi wake hawazingatii maadili.
Pia aliahidi...
10 years ago
StarTV30 Mar
LHRC yakosoa sheria ya uanzishwaji tume ya maadili ya watumishi umma.
Na Neema Ndetto,
Dar es Salaam,
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC kimekosoa sheria ya uanzishwaji wa Tume ya Maadili kwa Watumishi kwa madai kuwa imelenga kuwalinda watumishi wanaoendelea kufuja mali za umma.
Kimewataka watanzania kuvisoma kwa umakini vifungu vya Katiba inayopendekezwa vinavyozungumzia uwajibikaji ili waweze kuvitumia kuwawajibisha viongozi wao.
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimebainisha hayo jijini Dar es Salaam wakati kikizungumzia mwenendo na...
10 years ago
StarTV26 Feb
Chenge agoma kuhojiwa Baraza la Maadili ya Umma.
Na Josephine Mwaiswaga,
Dar es Salaam
Mbunge wa Bariadi Magharibi, CCM, Andrew Chenge amegoma kuhojiwa na Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma iliyomwita kwa mahojiano dhidi ya tuhuma zinazomkabili za kukiuka sheria ya maadili ya viongozi wa umma, baada ya kuwasilisha hoja ya kutaka kusimamishwa kwa mahojiano hayo, kwa kuwa suala hilo liko Mahakamani.
Kwa mujibu wa Hati ya Malalamiko iliyotolewa na Sekretarieti ya Maadili ya Umma, Chenge anakabiliwa na Makosa ya...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-5Ci5pngqRg8/U9t0F0cU67I/AAAAAAAF8OM/jzKRXrAFz68/s72-c/pic+no.+1.jpg)
WATUMISHI WA UMMA WAASWA KUZINGATIA KANUNI ZA MAADILI YA UTENDAJI KAZI ILI KUJENGA UTAWALA BORA.
Rai hiyo imetolewa na Kamishna wa Maadili Mhe. Jaji (Mst.) Salome Kaganda wakati akizindua filamu ya “The Minister” iliyoandaliwa na Kampuni ya Equity Links Enterprises (ELE) katika ukumbi wa CENTURY CINEMAX THEATRE Jijini Dar es Salaam.
Mhe. Kaganda alifafanua kuwa katika utumishi wa umma kuna Kanuni za Maadili ya utendaji ...