Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkapa atetea sheria ya maadili ya viongozi

RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, amesema kuwa mgongano wa maslahi miongoni mwa viongozi na watumishi wa Umma, unatokana na kutumia madaraka waliyonayo kuendeleza maslahi binafsi. Mkapa aliyasema...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mashahidi walieleza Baraza la Maadili jinsi Mkuu wa Wilaya ya Korogwe alivyokiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Na  Ally Mataula – Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Ikiwa ni siku ya nne tangu Baraza la Maadili lianze kusikiliza mashauri ya ukiukwaji wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma dhidi ya Viongozi mbalimbali wa umma, Baraza hilo limeendelea kusikiliza ushahidi kutoka upande wa Walalamikaji dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Gambo.  Mhe. Gambo analalamikiwa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa Matumizi mabaya ya uongozi yakiwemo matumizi ya lugha chafu,...

 

10 years ago

KwanzaJamii

MKAPA: MMOMONYOKO WA MAADILI KWA VIONGOZI WA UMMA UNATISHA

Rais Mstaafu, Benjamini Mkapa, amesema tatizo la mgongano wa maslahi miongoni mwa viongozi na watumishi wa umma ni tatizo ambalo Tanzania inakabiliana nalo hivi sasa. Kadhalika, amesema licha ya serikali kufanikiwa katika kuhakikisha maadili nchini yanazingatiwa, bado lipo tatizo ambalo limeonekana kutopewa uzito unaostahili. Alisema hayo jijini Dar es Salaam jana wakati akifungua warsha ya kujadili mapendekezo ya kutungwa kwa sheria mpya ya kudhibiti mgongano wa maslahi miongoni mwa...

 

10 years ago

Habarileo

Mkapa afagilia sheria kuzuia ulafi wa viongozi

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Benjamin MkapaRAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ameungana na Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, kuunga mkono mapendekezo ya Sheria ya Mgongano wa Maslahi.

 

10 years ago

Mwananchi

Sheria ya Maadili ya Viongozi ni butu

Habari kwamba idadi kubwa ya viongozi hawajatangaza mali zao kwa mwaka uliopita zimetushangaza.

 

11 years ago

Mwananchi

Mkapa atetea masilahi ya walimu nchini

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ameitaka Serikali kuboresha masilahi ya walimu ili waweze kutekeleza vyema majukumu ya kazi za kuwaandaa vijana kukabiliana na changamoto za utandawazi .

 

10 years ago

Mwananchi

Mkapa atetea uwekezaji, asema wanasiasa hawauelewi vyema

Rais mstaafu Benjamin Mkapa amesema sekta ya uwekezaji nchini inashindwa kukua kwa kasi inayotarajiwa kutokana na baadhi ya wanasiasa kutokuielewa vizuri.

 

5 years ago

Michuzi

Wajumbe wa Baraza la Maadili wafanya Ziara Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma

Kamishna wa Maadili, Jaji (Mst) Harold Nsekela ( wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Maadili walipofanya ziara yao katika Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Makao Makuu Dodoma hivi karibuni kwa lengo la kujifunza. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Baraza hilo, Jaji (Mst) Ibrahim Mipawa akifuatiwa na Immaculate Ngwalle na kushoto kwa Kamishna, Peter Ilomo.Kamishna wa Maadili, Jaji (Mst) Harold Nsekela akitoa neno la ukaribisho kwa Wajumbe wa Baraza...

 

11 years ago

Michuzi

Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wahimizwa kuzingatia Maadili.

Na. Ally Mataula Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wametakiwa kuzingatia maadili wanapokuwa wanatimiza majukumu yao ya kila siku. Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Ikulu Bw. Peter Ilomo wakati akifungua Mkutano wa kumi na mbili wa Baraza la Wafanyakazi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma uliofanyika Jijini Mbeya tarehe 28 Mei, 2014.  Bw. Ilomo alisema kuwa jukumu kubwa la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni kusimamia Maadili ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais wa Misri atetea sheria kali za usalama

Rais wa Misri Abdul Fattah al-Sisi ametetea sheria kali za kiusalama nchini humo na kusema taifa lake bado linadumisha demokrasia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani