Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wataka vyama kuheshimu maadili

KAMISHNA wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Omar Hamdani amewataka viongozi wa vyama vya siasa, kuheshimu maadili na kuzingatia sheria za uchaguzi ili kulinda amani na utulivu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

HOJA BINAFSI: Mabloga zingatieni maadili kuheshimu picha za marehemu mitandaoni

>Raha ya kipindi tunachoishi sasa  ni wepesi wa mawasiliano. Mawasiliano ya haraka kwa simu za mkononi, habari kusambaa, mitandao kutupasha yaliyotokea, ghafla bin vuu. Hakuna  linalofanyika hadharani likapita, vuum,  siku hizi. Iwe umbea au udaku; serikali, mazuri au kashfa, gharika au tufani; ili mradi...Buum! Hiyo hapo machoni.

 

10 years ago

Mwananchi

Wito kwa mabloga kuzingatia maadili kuheshimu picha za marehemu mitandaoni

Raha ya kipindi tunachoishi sasa ni wepesi wa mawasiliano. Mawasiliano ya haraka kwa simu za mkononi, habari kusambaa, mitandao kutupasha yaliyotokea, ghafla bin vuu.

 

10 years ago

Michuzi

Sekretarieti ya Maadili waendesha mafunzo ya Maadili kwa maafisa waandamizi wa Polisi Zanzibar

Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imeendesha mafunzo ya Maadili kwa maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi walioko Zanzibar. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Mikutano ulioko katika Chuo cha Polisi mjini Zanzibar.
Mafunzo hayo yana lengo la kuwasaidia watendaji hao wa Jeshi la Polisi walioko Zanzibar kuweza kuondokana na changamoto nyingi za uvunjifu wa maadili ambazo watendaji hao wamekuwa wakikabiliana nazo.
Mafunzo hayo pia yana lengo la kuwakumbusha watendaji hao jinsi...

 

10 years ago

Habarileo

UKAWA wataka sheria ya maadili inayodhibiti uovu

Viongozi wa Ukawa.VYAMA vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), vimetaka sheria ya maadili itungwe upya ili kuweka uwazi wa watu wote kuona taarifa ya mali za viongozi.

 

10 years ago

Habarileo

NEC, vyama vya siasa waweka maadili

Jaji Damian LubuvaTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefikia mwafaka na vyama vya siasa kuweka maadili ambayo yataviongoza vyama hivyo wakati wa kampeni hadi siku ya kupiga kura.

 

10 years ago

Mwananchi

Vyama Zanzibar vyagoma kusaini maadili ya uchaguzi

>Viongozi wa vyama vya siasa visiwani hapa wamekataa kusaini waraka wa maadili ya uchaguzi ya vyama vya siasa uliowasilishwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), vikitaka vyombo vya usalama vijumuishwe.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Hongera vyama Z’bar kusaini maadili ya uchaguzi

Hatimaye vyama vya siasa visiwani Zanzibar vimekubali kusaini mkataba wa Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, baada ya mkutano wa awali kuvunjika kwa madai ya kukosekana wadau muhimu kwenye mkutano huo ambao ni Chama cha Mapinduzi (CCM) na Jeshi la Polisi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Vyama vya Siasa 21 vimesaini Maadili ya uchaguzi mkuu Tanzania

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva, akizungumza na wahariri vyombo vya habari Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume hiyo Julius Mallaba. Picha na Joseph Zablon

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva, Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume hiyo Julius Mallaba. (Picha na Maktaba).

Vyama vya Siasa 21 vinavyotarajiwa kushiriki katika uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na Madiwani baadaye mwaka huu vimesaini Maadili ya uchaguzi yatakayotumika wakati wa kampeni, kupiga kura na wakati wa kutangaza matokeo.

Maadili hayo yanayohusisha Serikali, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Vyama vya Siasa yalisainiwa na Katibu Mkuu...

 

10 years ago

Habarileo

Wataka Msajili awezeshwe kufuta vyama korofi

BAADHI ya Kamati za Bunge Maalumu la Katiba zimependekeza Msajili wa Vyama vya Siasa nchini apewe nguvu na Katiba awe na mamlaka ya kufuta chama chochote cha siasa kinachokiuka masharti ya kusajiliwa, ikiwemo kuleta uchochezi kama njia ya kufikia malengo yake ya kisiasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani