Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wapiganaji wa M23 kurudi DRC

Rais wa kundi la waasi wa M23 amesema kuwa wapiganaji zaidi ya mia moja wa kundi hilo walioko nchini Uganda hawajatoroka .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Kikwete apendekeza DRC izungumze na M23

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete amefanya mahojiano na mwandishi  wa DW aliyeko Kinshasa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo Saleh Mwanamilongo Jumanne (15.04.2014) nchini Tanzania.Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania na mwandishi Saleh Mwanamilongo Dar- es -Salaam. (15.04.2014) Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania na mwandishi Saleh Mwanamilongo Dar- es -Salaam. (15.04.2014) Katika mahojiano hayo yaliofanyika Ikulu ya Dar-es-Salaam yaliyodumu kwa takriban dakika arobaini Rais Kikwete ameelezea maoni yake juu ya shughuli za kulinda amani za kikosi cha Umoja wa Mataifa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ni rasmi - Mkataba wa amani DRC na M23

Viongozi wa Maziwa makuu, akiwemo mwenyekiti wao Yoweri Museveni, wameidhinisha mkataba wa amani kati ya M23 na DRC jijini Nairobi

 

11 years ago

BBCSwahili

DRC yailaumu Rwanda kuwalinda M23

Serikali ya DR Congo imeilaumu Rwanda kwa kuwalinda wapiganaji wa M23.

 

10 years ago

TheCitizen

Uganda gives DRC M23 rebels deadline to leave

Uganda has issued a three-month ultimatum to Democratic Republic of Congo to relocate hundreds of ex-rebel fighters or they will be handed to the United Nations, an army spokesman said Thursday.

 

10 years ago

BBCSwahili

DRC:Wapiganaji wa zamani wafa njaa

Huma Rights Watch linasema zaidi ya watu mia moja wamefariki kutokana na njaa pamoja na maradhi katika kambi moja ya kijeshi

 

11 years ago

BBCSwahili

UG na Malawi waidhinisha mkataba wa M23

Rais wa Malawi Joyce Banda na mwenzake wa Uganda Yoweri Museveni wasaini kuwa wadhamini kwa mkataba wa amani kati ya DRC na M23.

 

10 years ago

BBCSwahili

UN:M23 walibaka mamia ya wanawake

Kikosi cha UN katika Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, kimetuhumu kundi la waasi wa zamani M23 kwa kufanya uovu mkubwa ikiwemo ubakaji

 

11 years ago

BBCSwahili

Tanzania yasema M23 walitoka Rwanda

Tanzania imesema inayo uhakika kuwa waasi wa M23 walioondolewa nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo ni raia Rwanda.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waasi wa M23 wakana kutenda uovu

Kundi la wasi la M23 limekanusha madai ya kufanya uovu kama vile mauji ya kiholela pamoja na ubakaji katika eneo lililokuwa likidhidhiti katika Kivu Kaskazini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani