Kikwete apendekeza DRC izungumze na M23
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete amefanya mahojiano na mwandishi wa DW aliyeko Kinshasa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo Saleh Mwanamilongo Jumanne (15.04.2014) nchini Tanzania.
Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania na mwandishi Saleh Mwanamilongo Dar- es -Salaam. (15.04.2014)
Katika mahojiano hayo yaliofanyika Ikulu ya Dar-es-Salaam yaliyodumu kwa takriban dakika arobaini Rais Kikwete ameelezea maoni yake juu ya shughuli za kulinda amani za kikosi cha Umoja wa Mataifa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Wapiganaji wa M23 kurudi DRC
11 years ago
BBCSwahili13 Dec
Ni rasmi - Mkataba wa amani DRC na M23
11 years ago
BBCSwahili05 Jun
DRC yailaumu Rwanda kuwalinda M23
10 years ago
TheCitizen01 Feb
Uganda gives DRC M23 rebels deadline to leave
10 years ago
Mwananchi14 Jan
Kikwete: Tumedhamiria kusambaratisha uasi DRC
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-mppV2Wxghu4/U29xgY6mszI/AAAAAAAFg9s/6SUYUCXyFHE/s72-c/D92A0362.jpg)
Rais Kikwete awasalimu watoto mapacha DRC
![](http://4.bp.blogspot.com/-mppV2Wxghu4/U29xgY6mszI/AAAAAAAFg9s/6SUYUCXyFHE/s1600/D92A0362.jpg)
10 years ago
Dewji Blog14 Jan
Rais Kikwete: Shutuma dhidi ya Tanzania DRC ni za kudharauliwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
-Ni kusadikika tu kwa watu wanaojipa kazi ya kufikiria kwa niaba ya Tanzania
Tanzania imesema kuwa ni jambo la kusadikika na kufikirika tu kwa baadhi ya watu kudai kuwa haiko tayari kukabiliana na vikundi vya uasi na ugaidi (negative forces) vilivyobakia vikivuruga amani na kusababisha ukosefu wa utulivu ndani ya nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Badala yake, Tanzania inaendelea kuwa tayari...
11 years ago
News Of Rwanda Group13 Feb
Inside story of why President Kikwete deployed Tanzanian troops in DRC
News Of Rwanda Group
News Of Rwanda Group
At an urgent summit of the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR) in Kampala in late September 2012, Tanzania's President Jakaya Kikwete spoke passionately of how Tanzania was eager to end the conflict in DR Congo. President ...
We must step up war on poachingIPPmedia
Tanzania dismisses British paper elephant poaching claimsDaily News
Prince Charles told not to...
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Makaidi apendekeza Bunge livunjwe
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Dk. Emmanuel Makaidi, amependekeza kuvunjwa kwa Bunge hilo kwa madai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinavuruga bunge hilo kutokana na kujipendelea. Akizungumza na waandishi...