Rais Kikwete awasalimu watoto mapacha DRC
![](http://4.bp.blogspot.com/-mppV2Wxghu4/U29xgY6mszI/AAAAAAAFg9s/6SUYUCXyFHE/s72-c/D92A0362.jpg)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia watoto mapacha waliokuwa wanasubiri kupata matibabu katika Hospitali ya Ngaliema iliyopo jijini Kinshasa jana.Rais Kikwete alikwenda hospitalini hapo kumjulia hali balozi wa Tanzania nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mh.,Antony Ngereza Cheche anayetibiwa hospitalini hapo(picha na Freddy Maro)
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboRais Kikwete afanya Mazungumzo na Rais Kabila wa DRC Dar es Salaam
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS KABILA WA DRC JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog14 Jan
Rais Kikwete: Shutuma dhidi ya Tanzania DRC ni za kudharauliwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
-Ni kusadikika tu kwa watu wanaojipa kazi ya kufikiria kwa niaba ya Tanzania
Tanzania imesema kuwa ni jambo la kusadikika na kufikirika tu kwa baadhi ya watu kudai kuwa haiko tayari kukabiliana na vikundi vya uasi na ugaidi (negative forces) vilivyobakia vikivuruga amani na kusababisha ukosefu wa utulivu ndani ya nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Badala yake, Tanzania inaendelea kuwa tayari...
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE ATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WATOTO YATIMA ,MAHABUSU YA WATOTO PAMOJA NA WAZEE WASIOJIWEZA
10 years ago
Mtanzania20 May
Batuli atamani watoto mapacha
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSANII wa filamu za kibongo, Yobnesh Yossuf ‘Batuli’, amesema anatamani kupata watoto mapacha wa kike katika maisha yake.
Akizungumza juzi alipotembelea ofisi za gazeti hili, mrembo huyo mwenye watoto wawili wa kiume, alisema moja ya mipango yake ni kupata mtoto mwingine wa kike, tena ikiwezekana mapacha.
“Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia kupata watoto wa kiume wawili, lakini bado nina mpango wa kuongeza wengine wa kike na nitafurahi nikipata mapacha,...
11 years ago
GPLMAMA WA WATOTO NJITI MAPACHA ASHUKURU WALIOMSAIDIA
5 years ago
BBCSwahili15 Mar
Simulizi ya maisha ya malezi ya watoto mapacha wanne
11 years ago
GPLWATOTO NJITI MAPACHA WATELEKEZWA NA BABA YAO
9 years ago
Dewji Blog22 Nov
Msaada wahitajika kwa Watoto Mapacha walioungana!
Pichani ni watoto Zahra na Zarina wamezaliwa pacha walioungana tarehe 16/11/15 mama yao Bi Tausi Hageze akiwa njiani kwenye boda boda akitokea kijiji cha Nyarurema Tarafa ya Rulenge Wilaya ya Ngara akielekea hopitali ya misheni Rulenge.
Alipopata uchungu wa kuzidi alimuomba bodaboda asimame akaweza kujifungua kwa shida mbele ya mumewe anaeitwa Hamdani hapo njiani.
Baada ya hapo wakapelekwa hospitali ya misheni Rulenge. Mama na watoto wako salama, kama unavyo ona katika picha...