Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Batuli atamani watoto mapacha

YobneshYusufbatuliNA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSANII wa filamu za kibongo, Yobnesh Yossuf ‘Batuli’, amesema anatamani kupata watoto mapacha wa kike katika maisha yake.
Akizungumza juzi alipotembelea ofisi za gazeti hili, mrembo huyo mwenye watoto wawili wa kiume, alisema moja ya mipango yake ni kupata mtoto mwingine wa kike, tena ikiwezekana mapacha.
“Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia kupata watoto wa kiume wawili, lakini bado nina mpango wa kuongeza wengine wa kike na nitafurahi nikipata mapacha,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAMA WA WATOTO NJITI MAPACHA ASHUKURU WALIOMSAIDIA

Fatuma akiwa na watoto wake  baada ya kupatiwa fedha na kununua mahitaji ya watoto. Watoto wakiwa wamelala pembeni  ya makopo ya maziwa yaliyotokana na msaada huo. Makopo ya maziwa ya watoto yaliyonunuliwa. Na Gabriel…

 

9 years ago

Dewji Blog

Msaada wahitajika kwa Watoto Mapacha walioungana!

0a71d082-9c10-4605-923a-0e0777004614

Pichani ni watoto Zahra na Zarina wamezaliwa pacha walioungana tarehe 16/11/15  mama yao Bi Tausi Hageze akiwa njiani kwenye boda boda akitokea kijiji cha Nyarurema Tarafa ya Rulenge Wilaya ya Ngara akielekea hopitali ya misheni Rulenge.

Alipopata uchungu wa kuzidi alimuomba bodaboda asimame akaweza kujifungua kwa shida mbele ya mumewe anaeitwa Hamdani hapo njiani.

Baada ya hapo wakapelekwa hospitali ya misheni Rulenge. Mama na watoto wako salama, kama unavyo ona katika picha...

 

5 years ago

BBCSwahili

Simulizi ya maisha ya malezi ya watoto mapacha wanne

Je ni vipi unaweza kuwalea mapacha wanne?. Mama Dirvina Joseph Mwanamke kutoka Kenya alijifungua anatushirikisha jinsi anavyowashughulikia watoto wake wanne wenye umri wa miaka 3

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete awasalimu watoto mapacha DRC

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia watoto mapacha waliokuwa wanasubiri kupata matibabu katika Hospitali ya Ngaliema iliyopo jijini Kinshasa jana.Rais Kikwete alikwenda hospitalini hapo kumjulia hali balozi wa Tanzania nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mh.,Antony Ngereza Cheche anayetibiwa hospitalini hapo(picha na Freddy Maro)

 

11 years ago

GPL

WATOTO NJITI MAPACHA WATELEKEZWA NA BABA YAO

Fatuma Hussein akiwa na watoto wake mapacha. Watoto mapacha wakiwa wamelala. Rahma akiwa kalala.…

 

11 years ago

Michuzi

WATOTO MAPACHA WALIOPELEKWA KUTENGANISHWA NCHINI INDIA WAREJEA JIJINI DAR.

 Watoto mapacha kutoka wilayani Kyela mkoani Mbeya waliokuwa wamepelekwa na serikali chini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kufanyiwa upasuaji mkubwa wa kuwatenganisha wakiwasili nchini Tanzania kutokea nchini India walipokuwa wakipatiwa matibabu katika hospitali ya watoto ya Appolo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Magonjwa ya Nje wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Edward Sawe, mama mzazi wa watoto hao Bi. Grace Joel na Daktari aliyekuwa akiwaangalia nchini India Dkt.Glory Joseph.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani