Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATOTO MAPACHA WALIOPELEKWA KUTENGANISHWA NCHINI INDIA WAREJEA JIJINI DAR.

 Watoto mapacha kutoka wilayani Kyela mkoani Mbeya waliokuwa wamepelekwa na serikali chini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kufanyiwa upasuaji mkubwa wa kuwatenganisha wakiwasili nchini Tanzania kutokea nchini India walipokuwa wakipatiwa matibabu katika hospitali ya watoto ya Appolo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Magonjwa ya Nje wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Edward Sawe, mama mzazi wa watoto hao Bi. Grace Joel na Daktari aliyekuwa akiwaangalia nchini India Dkt.Glory Joseph.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

WATANZANIA WALIOKWAMA INDIA KUTOKANA NA CORONA WAREJEA NCHINI

  Serikali yarejesha kwa awamu ya pili Watanzania 192 waliokuwa wamekwama nchini India kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19
Ubalozi wa Tanzania nchini India kwa kushirikiana na Shirika la Ndege la Tanzania [ATCL] pamoja na Diaspora wa Tanzania nchini India kwa mara nyingine wamefanikisha safari ya pili ya kuwarejesha nchini Watanzania 192 waliokuwa wamekwama katika miji mbalimbali nchini India. 
Watanzania hao walikwama kutokana na zuio la kuingia na kutoka kwa ndege za Kimataifa...

 

10 years ago

Michuzi

mapacha kutoka Tanzania walioungana watenganishwa kwa mafanikio nchini India

Picture1-swahiliHospitali ya Apollo iliyoko nchini India imefanikiwa kuwatenganisha mapacha wa kike wa Tanzania Abriana na Adriana waliokuwa wameunganika chini ya kifua na tumboni  katika upasuaji uliofanyika tarehe 17 Novemba 2014 nchini humo. Mapacha waliounganika kwa mtindo huu hujulikana kwa watalaam kama Thoraco Omphalopahus na upasuaji uliofanyika na hospitali Apollo ulikuwa wenye mafanikio na wa aina yake.Mapacha Abriana na Adriana awali ya upasuaji huo walikuwa wameunganika kuanzia chini ya kifua na...

 

5 years ago

Michuzi

AWAMU YA PILI YA WATANZANIA WALIOKWAMA INDIA KUTOKANA NA UGONJWA WA COVID-19 WAREJEA NCHINI



Baadhi ya watanzania waliokuwa wamekwama  India kutokana na ugonjwa wa COVID-19 wakiwa ndani ya ndege maalum ya Air Tanzania wakisubiri kuondoka kurejea Tanzania katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chhatrapati Shivaji Jijini Mumbai tarehe 30 Mei 2020. Serikali ya India ilisitisha huduma ya kuingia na kutoka kwa ndege za kimataifa ikiwa ni moja ya mkakati wa kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa COVID-19.
Sehemu nyingine ya watanzania waliokuwa wamekwama nchini India wakiwa ndani ya ndege maalum ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

NHC yakabiliana na tatizo la moyo nchini kwa kusaidia matibabu ya watoto 53 nchini India

unnamed

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo Desemba 26, 2014 kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ya kuwaaga jumla ya watoto 55 wenye matatizo ya ugonjwa wa Moyo kati ya 104, waliofadhiliwa na Lions Club ya jijini, kwa ajili ya kwenda kutibiwa nchini India. Watoto hao 55 wa awamu ya kwanza walionza kuondoka nchini jana.

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limechangia kiasi cha takribani shilingi...

 

10 years ago

Michuzi

MTOTO MWENYE KIPAJI CHA AJABU KUTOKA MAREKANI ATUA NCHINI LEO, KUFANYA KONGAMANO LA WATOTO NA WAZAZI KESHO JIJINI DAR ES SALAAM

Na Mwandishi Wetu
MTOTO  mwenye kipawa cha ajabu katika kutoa ushauri  wa kujijengea uwezo wa kujiamini  anayezidi kujipatia umaarufu mkubwa duniani,  Lonnie Hudson  maarufu kama ‘King Nahh’(Pichani), ametua  jijini Dar es Salaam , leo.
King Nahh aliambatana na baba yake mzazi , Nyeeam Hudson  ambapo wapo nchini kwa mwaliko wa  taasisi isiyo ya kiserikali ya Wisdom Partners.
Kesho mtoto huyo atafanya  kongamano kubwa  la watoto na wazazi  katika Ukumbi wa Urafiki ambapo nia na madhumuni ni...

 

10 years ago

Dewji Blog

Baada ya kutikisa nchini Oman, Skylight Band warejea nchini kutoa burudani ya nguvu Ijumaa ya leo

 Baada ya Safari ndefu ya nchini Oman ambako Bendi Inayotikisa nchini kwa sasa Skylight Band walitoa Burudani ya Nguvu huko ughaibuni na kuacha historia isiyofutika kirahisi, Sasa Bendi yako imerejea nchini Tanzani. Leo Kama kawaida yetu Skylight Band tutakuwa kiwanja cha nyumbani Thai Village kukuletea burudani ya nguvuuu kabisaaaaa ikiwa na kikosi kamili na masong mapyaaaaa,Usikose Leo kuanzia Sa Tatu Kamilii……

 Divas wa Skylight Band walisongesha vya kutosha kutoa burudani ya nguvu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Raia 246 wa Tanzania waliokwama India warejea nyumbani

Bi. Saada raia wa Tanzania aliyekuwa amekwama nchini India. Ameieleza BBC juu ya furaha ya kurejea nyumbani.

 

10 years ago

GPL

BAADA YA KUTIKISA NCHINI OMAN, SKYLIGHT BAND WAREJEA NCHINI KUTOA BURUDANI YA NGUVU IJUMAA YA LEO‏

Baada ya Safari ndefu ya nchini Oman ambako Bendi Inayotikisa nchini kwa sasa Skylight Band walitoa Burudani ya Nguvu huko ughaibuni na kuacha historia isiyofutika kirahisi, Sasa Bendi yako imerejea nchini Tanzani. Leo Kama kawaida yetu Skylight Band tutakuwa kiwanja cha nyumbani Thai Village kukuletea burudani ya nguvuuu kabisaaaaa ikiwa na kikosi kamili na masong mapyaaaaa,Usikose Leo kuanzia Sa Tatu Kamilii...... Divas...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani