Baada ya kutikisa nchini Oman, Skylight Band warejea nchini kutoa burudani ya nguvu Ijumaa ya leo
Baada ya Safari ndefu ya nchini Oman ambako Bendi Inayotikisa nchini kwa sasa Skylight Band walitoa Burudani ya Nguvu huko ughaibuni na kuacha historia isiyofutika kirahisi, Sasa Bendi yako imerejea nchini Tanzani. Leo Kama kawaida yetu Skylight Band tutakuwa kiwanja cha nyumbani Thai Village kukuletea burudani ya nguvuuu kabisaaaaa ikiwa na kikosi kamili na masong mapyaaaaa,Usikose Leo kuanzia Sa Tatu Kamilii……
Divas wa Skylight Band walisongesha vya kutosha kutoa burudani ya nguvu...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLBAADA YA KUTIKISA NCHINI OMAN, SKYLIGHT BAND WAREJEA NCHINI KUTOA BURUDANI YA NGUVU IJUMAA YA LEO
10 years ago
VijimamboSKYLIGHT BAND WAENDELEA KUTOA BURUDANI YA NGUVU JIJI DAR, NI IJUMAA HII TENA
10 years ago
GPLSKYLIGHT BAND WAENDELEA KUTOA BURUDANI YA NGUVU JIJI DAR, NI IJUMAA HII TENA
11 years ago
Dewji Blog16 May
Skylight Band wazidi kutikisa Jiji la Dar kwa Burudani, usikose Ijumaa hii
Kikosi Cha Skylight kutoka kushoto ni Winfrida, Sam Mapenzi na Sony Masamba wakianza kuamsha amsha ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Sam Mapenzi akiimba kwa Hisia kali wimbo wa “All on Me wa John Legend” ndani ya Thai Village.
Winfrida Richard akiimba kwa hisia kubwa ndani ya Thai Village Ijumaaa iliyopita.
Mpiga Gita mahiri wa Skylight Band Allen Kisso Mundele akizikung’uta nyuzi za gitaa hilo ipasavyoooooo.
Idrisa idrisaaa ma drummmm akicharanga vyombo kwa umahiri ili kuleta...
11 years ago
Dewji Blog30 May
Skylight Band waleta homa ya burudani ndani ya Jiji la Dar, njoo utibiwe Thai Village Ijumaa hii kwa burudani ya nguvu
Sam Mapenzi akiamsha amsha Taratibuuuuuuu ndani ya Thai Village.
Winfrida Richard akiimba kwa sauti nyororooooo kabisaaaa amsha amsha kwa mashabiki ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Sam Mapenzi kushoto akiwa na Winfrida Richard wakitoa vocal za ukweli kuwapa raha mashabiki wao ndani ya Thai Village.
Aneth Kushaba AK47 toka kulia akiongoza makamuzi ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Joniko Flower kushoto akiongoza makamuzi ya sebene kaliii akipewa sapoti na Sony Masamba.
11 years ago
Dewji Blog01 Aug
Baada ya kuporomosha burudani ya nguvu Eid Mosi, leo Skylight Band kama kawaida ndani ya Thai Village njoo usikosee!
Digna Mbepera (wa kwanza kushoto)akiimba kwa hisia kaliiiii ndani ya kiota cha maraha na burudani Thai Village Masaki,Kulia kwake ni Aneth Kushaba akimpa sapoti ya ukweli.Kila ijumaa Skylight Band wanakuwa Thai Village wakitoa burudani ya nguvu yenye kukonga roho yako kwa muziki mzuri na uliopangiliwa sawa sawa, Ijumaa ya leo kama kawaida njoo ufurahi na ukutane na marafiki wapya.
Mary Lucos mwadada mwenye sauti tamu na nyororo akiimba kwa raha zake kuwapa burudani mashabiki wake.
Aneth...
11 years ago
GPLBAADA YA KUPOROMOSHA BURUDANI YA NGUVU EID MOSI, LEO SKYLIGHT BAND KAMA KAWAIDA NDANI YA THAI VILLAGE NJOO USIKOSEE!
11 years ago
Dewji Blog25 Apr
Baada ya Show ya Pasaka Mwanza, Skylight Band warejea nyumbani kuendeleza burudani Thai Village
Aneth Kushaba AK 47 akiongoza waimbaji wenzake kutoa burudani kwa wapenzi wa Skylight Band Ijumaa ya mwisho kabla ya kuelekea jijini Mwanza kwenye ukumbi wa Thai Village Masaki jijini Dar
Digna Mbepera akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band ndani ya Thai Village.
First lady wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akicheza kwa raha zakeee jukwaniii ndani ya Thai Village Masaki.
Muziki ni Hisia na ndicho anachokifanya hapa mpiga gitaa mahiri wa Skylight band Allen Kiso Mundende.
Aneth...
10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Skylight Band wazidi kutikisa jiji la Dar kwa burudani nzito
Skylight Band Divas Mary Lucos(Wa kwanza Kushoto) Aneth Kushaba AK47 (katikati) Na Digna Mbepera (wa kwanza kulia) wakitoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wao ndani ya Kijiji cha Maraha Thai Village Ijumaa Iliyopita.Kila Ijumaa ya mwisho wa wiki Band ya Skylight wanapiga show Ndani ya Thai Village.Karibu Leo Upate burrudani ya nguvu yenye kukonga Roho yako na kutakuwa na Supriseeeeeee kibaoooo ndani ya Thai Village.
Hashimu Donode akiimba kwa raha zake ndani ya Thai Village