Skylight Band wazidi kutikisa jiji la Dar kwa burudani nzito
Skylight Band Divas Mary Lucos(Wa kwanza Kushoto) Aneth Kushaba AK47 (katikati) Na Digna Mbepera (wa kwanza kulia) wakitoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wao ndani ya Kijiji cha Maraha Thai Village Ijumaa Iliyopita.Kila Ijumaa ya mwisho wa wiki Band ya Skylight wanapiga show Ndani ya Thai Village.Karibu Leo Upate burrudani ya nguvu yenye kukonga Roho yako na kutakuwa na Supriseeeeeee kibaoooo ndani ya Thai Village.
Hashimu Donode akiimba kwa raha zake ndani ya Thai Village
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog16 May
Skylight Band wazidi kutikisa Jiji la Dar kwa Burudani, usikose Ijumaa hii
Kikosi Cha Skylight kutoka kushoto ni Winfrida, Sam Mapenzi na Sony Masamba wakianza kuamsha amsha ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Sam Mapenzi akiimba kwa Hisia kali wimbo wa “All on Me wa John Legend” ndani ya Thai Village.
Winfrida Richard akiimba kwa hisia kubwa ndani ya Thai Village Ijumaaa iliyopita.
Mpiga Gita mahiri wa Skylight Band Allen Kisso Mundele akizikung’uta nyuzi za gitaa hilo ipasavyoooooo.
Idrisa idrisaaa ma drummmm akicharanga vyombo kwa umahiri ili kuleta...
11 years ago
Dewji Blog29 Aug
Skylight Band wazidi kulitikisa Jiji la Dar na viunga vyake kwa burudani kaliii iliyokwenda shule, tukutane leo Thai Village
Diva wa Skylight Band Mary Lucos akiimba kwa uzuri kabisa Ndani ya kiota cha burudani Thai Village.Bendi yako machachari na inayopendwa zaidi ndani ya Jiji la Dar es salaam na viunga vyake vyote Skylight Band inakukaribisha wewe mdau,mpenzi na shabiki wa kweli Leo hii kuanzia mida ya Tatu kamili ndani ya ukumbi wa Thai Village Masaki,ambapo burudani ya nguvu itaporomoshwa na wanamuziki mahiri wa bendi hiyo kama Aneth Kushaba, Mary Lucos, Digna Mbepera, Sam Machozi, Donode, Joniko Flower na...
11 years ago
Dewji Blog30 May
Skylight Band waleta homa ya burudani ndani ya Jiji la Dar, njoo utibiwe Thai Village Ijumaa hii kwa burudani ya nguvu
Sam Mapenzi akiamsha amsha Taratibuuuuuuu ndani ya Thai Village.
Winfrida Richard akiimba kwa sauti nyororooooo kabisaaaa amsha amsha kwa mashabiki ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Sam Mapenzi kushoto akiwa na Winfrida Richard wakitoa vocal za ukweli kuwapa raha mashabiki wao ndani ya Thai Village.
Aneth Kushaba AK47 toka kulia akiongoza makamuzi ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Joniko Flower kushoto akiongoza makamuzi ya sebene kaliii akipewa sapoti na Sony Masamba.
10 years ago
VijimamboSKYLIGHT BAND WAENDELEA KUTOA BURUDANI YA NGUVU JIJI DAR, NI IJUMAA HII TENA
10 years ago
Dewji Blog16 Jan
Skylight Band wazidi kulitikisa jiji la Dar wasajili vifaa vipya akiwemo John Music
Kifaa kipya ndani ya Skylight Band John Music akiimba kwa hisia kaliii huku akipewa sapoti na Wenzake wa kwanza kushoto ni Baby na wa pili kutoka kushoto ni Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 na kulia ni Jessie
Wanaume wa shoka wa Skylight Band kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakionyesha...
10 years ago
Dewji Blog14 Nov
Skylight Band ni moto wa kuotea mbali, wazidi kuwapa raha mashabiki wao kwa burudani nzuri
Pichani Kutoka kushoto ni Bella Kombo akiongoza mashambulizi ya jukwaa akipewa sapoti na Digna Mbepera(katikati) na kwa mbaliiiii ni Aneth kushaba.
Kama kawaida yetu inapofika mwishoni mwa juma yaani Ijumaa huwa inakuwa ni siku ya furaha na kubadilishana mawazo, kupunguza stress za kazini…..paleee Thai Village Masaki.Kwenye Jukwaa Bendi yako matata na inayotikisa Tanzania na Jiji la Dar Skylight Band wanakuwa wanakupa burudani ya nguvu na iliyoenda shule.Karibu leo kuanzia saa 3 kamili...
10 years ago
GPLSKYLIGHT BAND WAENDELEA KUTOA BURUDANI YA NGUVU JIJI DAR, NI IJUMAA HII TENA
10 years ago
GPLSKYLIGHT BAND WAZIDI KULITIKISA JIJI LA DAR WASAJILI VIFAA VIPYA AKIWEMO JOHN MUSIC
10 years ago
GPLSKYLIGHT BAND NI MOTO WA KUOTEA MBALI, WAZIDI KUWAPA RAHA MASHABIKI WAO KWA BURUDANI NZURI