Simulizi ya maisha ya malezi ya watoto mapacha wanne
Je ni vipi unaweza kuwalea mapacha wanne?. Mama Dirvina Joseph Mwanamke kutoka Kenya alijifungua anatushirikisha jinsi anavyowashughulikia watoto wake wanne wenye umri wa miaka 3
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLALIYEJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO AENDELEA VIZURI AOMBA MSAADA
Mapacha wanne wa Aida Nakawala. Aida Nakawala 25 mkazi wa kijiji cha Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya, hivi karibuni alijifungua watoto wanne mapacha kwa mkupuo(Quadliplets) katika usiku wa kuamkia Mwaka mpya anaendelea vizuri.…
11 years ago
Michuzimsamaria mwema wa uingereza atuma misaada kwa mzazi wa mapacha wanne wa mbeya
Misaada ya hali na mali imeanza kumiminika kwa ajili ya Aida Nakawala (25) mkaazi wa kijiji cha Chiwanda, Wilaya ya Momba, Mkoa wa Mbeya, ambaye alijifungua watoto wanne mapacha kwa mkupuo (Quadruplets) usiku wa kuamkia Mwaka mpya wa 2014 katika Hospitali ya Wazazi ya META jijini Mbeya.
Msamaria mwema wa Uingereza, Bi Gladness Sariah, ametuma maboksi mawili yenye nguo na vitu kadhaa vya watoto, ambavyo vimewasili salama katika ofisi za Michuzi Media Group (MMG) inayoendesha Globu ya...
11 years ago
Michuzi25 Feb
News Alert: misaada kwa yatima pamoja na ya mapacha wanne yawasili salama mbeya
Kituo cha...
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Tunu asisitiza malezi bora ya watoto
Mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda ametoa wito kwa wazazi kusimamia malezi katika ngazi ya familia kwani hiyo ndiyo njia pekee ya kuandaa Taifa lenye amani na utulivu.
10 years ago
Tanzania Daima23 Nov
Watoto watakiwa kupata malezi ya akina baba
SHIRIKA la Save the Children kwa kushirikiana na Umoja wa nchi za Ulaya (EU) wamezindua kampeni ya Baba bora ambayo inahamasisha wanaume kushiriki malezi ya mtoto na sio kuonekana malezi...
10 years ago
Mwananchi31 Dec
‘Wazazi zingatieni malezi bora kwa watoto’
Jamii imeshauriwa kujenga utamaduni wa kuzingatia malezi bora kwa watoto ili kujenga Taifa lenye maadili kwa kizazi cha sasa na kijacho.
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Wazazi vijana, wanahitaji mafunzo ya malezi ya watoto
Watu wanapooana wanatarajia kupata watoto. Pale wanapokosekana inakuwa ni majonzi makubwa kwa wanandoa hao. Ni ukweli kwamba watoto ni majaliwa Kutoka kwa Mungu, lakini kila mtu angependa ajaliwe.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania