Watoto watakiwa kupata malezi ya akina baba
SHIRIKA la Save the Children kwa kushirikiana na Umoja wa nchi za Ulaya (EU) wamezindua kampeni ya Baba bora ambayo inahamasisha wanaume kushiriki malezi ya mtoto na sio kuonekana malezi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Jul
Sayansi yaonyesha kwa nini baba ni muhimu katika malezi
Wapendwa akina baba, watoto wenu wanawahitaji katika malezi yao kama vile wanavyowahitaji mama zao! Kwa miongo kadhaa, wanasaikolojia na watafiti walidhani kuwa mahusiano kati ya mama na mtoto yalikuwa muhimu katika maisha mtoto zaidi ya mahusiano ya mtoto na baba yake.
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Tunu asisitiza malezi bora ya watoto
Mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda ametoa wito kwa wazazi kusimamia malezi katika ngazi ya familia kwani hiyo ndiyo njia pekee ya kuandaa Taifa lenye amani na utulivu.
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Wazazi vijana, wanahitaji mafunzo ya malezi ya watoto
Watu wanapooana wanatarajia kupata watoto. Pale wanapokosekana inakuwa ni majonzi makubwa kwa wanandoa hao. Ni ukweli kwamba watoto ni majaliwa Kutoka kwa Mungu, lakini kila mtu angependa ajaliwe.
10 years ago
Mwananchi31 Dec
‘Wazazi zingatieni malezi bora kwa watoto’
Jamii imeshauriwa kujenga utamaduni wa kuzingatia malezi bora kwa watoto ili kujenga Taifa lenye maadili kwa kizazi cha sasa na kijacho.
5 years ago
BBCSwahili15 Mar
Simulizi ya maisha ya malezi ya watoto mapacha wanne
Je ni vipi unaweza kuwalea mapacha wanne?. Mama Dirvina Joseph Mwanamke kutoka Kenya alijifungua anatushirikisha jinsi anavyowashughulikia watoto wake wanne wenye umri wa miaka 3
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Madhehebu ya dini yasadie malezi bora kwa watoto
Taifa lenye maadili ni lile lililojikita katika misingi imara ya uadilifu ambayo inajengwa kuanzia ngazi ya familia, kijiji/mtaa, wilaya, mkoa na taifa.
11 years ago
Mwananchi29 Apr
SAFU YA ELIMU&MALEZI: Wazazi tuchunge uhuru tunaowapa watoto
>Katika mfululizo wa makala za malezi kwa watoto nimekuwa nikisisitiza kuwa ni muhimu watoto wapewe fursa ya kushiriki katika masuala ya kifamilia.
10 years ago
Michuzi19 Jan
UFAHAMU MTANDAO WA MALEZI MAKUZI NA MAENDELEO YA WATOTO WADOGO TANZANIA (TECDEN)
![unnamed](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/01/unnamed152.jpg)
Mtandao huu ulianzishwa mwaka 2000 na kusajiliwa rasmi mwaka 2004. Makao makuu ya Mtandao huu yapo Jijini Dar es salaam.
Hadi kufikia mwaka 2014 Mtandao huu una jumla ya mashirika wanachama wasiopungua 200 katika mikoa 14 ya Tanzania bara na Visiwani yanayotoa huduma kwa...
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/01/unnamed152.jpg?width=650)
UFAHAMU MTANDAO WA MALEZI MAKUZI NA MAENDELEO YA WATOTO WADOGO TANZANIA (TECDEN)
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Bruno Ghumpi. Mtandao wa Malezi Makuzi na Maendeleo ya Watoto Wadogo Tanzania – TECDEN ni chombo kinachoundwa na mashirikia mbalimbali yanayofanya kazi za kuhudumia watoto wadogo Tanzania. Mtandao huu ulianzishwa mwaka 2000 na kusajiliwa rasmi mwaka 2004. Makao makuu ya Mtandao huu yapo Jijini Dar es salaam. Hadi kufikia mwaka 2014 Mtandao huu una jumla ya mashirika wanachama wasioungua 200...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania