Sayansi yaonyesha kwa nini baba ni muhimu katika malezi
Wapendwa akina baba, watoto wenu wanawahitaji katika malezi yao kama vile wanavyowahitaji mama zao! Kwa miongo kadhaa, wanasaikolojia na watafiti walidhani kuwa mahusiano kati ya mama na mtoto yalikuwa muhimu katika maisha mtoto zaidi ya mahusiano ya mtoto na baba yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Aug
Heshima nguzo muhimu katika malezi ya mtoto
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Kwa nini ni muhimu kwa mwananchi kushiriki katika mchakato wa bajeti ya serikali?
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Dkt. Yamungu Kayandabila: “Sayansi ni muhimu sana katika kuyafikia malengo ya Agenda 2030”
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Yamungu Kayandabila akizungumza na wadau wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia katika mkutano maalum wa siku ya Sayansi Duniani. Kushoto kwake ni Afisa utawala na fedha wa UNESCO, Spencer Bokosha ambaye alimwakilisha Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO- Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa wizara hiyo jijini Dar e s Salaam Novemba 10.2015. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na Andrew...
10 years ago
Mwananchi27 Jul
Malezi muhimu
5 years ago
BBCSwahili30 Mar
Coronavirus: Kwa nini mashine za kusaidia kupumua ni muhimu kwa wagonjwa wa virusi vya corona?
10 years ago
Tanzania Daima23 Nov
Watoto watakiwa kupata malezi ya akina baba
SHIRIKA la Save the Children kwa kushirikiana na Umoja wa nchi za Ulaya (EU) wamezindua kampeni ya Baba bora ambayo inahamasisha wanaume kushiriki malezi ya mtoto na sio kuonekana malezi...
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Maabara nyenzo muhimu masomo ya sayansi
WATAALAM wa sayansi hawawezi kupatikana nchini kama serikali haitayapa masomo hayo kipaumbele na kujenga maabara shuleni. Ni shule chache nchini ambazo zimekuwa zikifaulisha wanafunzi masomo ya sayansi, hii ni kutokana...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YF3zdS6M3KY/VnfI7f7yaDI/AAAAAAAINow/TCS_6bCm_QE/s72-c/samwel-Manyele1.png)
Asilimia 49 kati ya asilimia 100 ya uchunguzi wa DNA yaonyesha baba si mzazi halali wa mtoto
![](http://2.bp.blogspot.com/-YF3zdS6M3KY/VnfI7f7yaDI/AAAAAAAINow/TCS_6bCm_QE/s400/samwel-Manyele1.png)
Asilimia 49 kati ya asilimia 100 ya matokeo ya uchunguzi wa makosa ya vinasaba (DNA) yanayowasilishwa katika ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa mwaka yanaonyesha kuwa baba si mzazi halali wa mtoto katika kesi hizo.
Hayo yamesemwa na Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa wadau wa wakala wa afya ya mazingira leo jijini Dar es Salaam.
“Kesi zinazopokelewa katika...
5 years ago
BBCSwahili13 Apr
Kwa nini kuna shimo lisilo la kawaida katika tabaka la ozoni?