Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maabara nyenzo muhimu masomo ya sayansi

WATAALAM wa sayansi hawawezi kupatikana nchini kama serikali haitayapa masomo hayo kipaumbele na kujenga maabara shuleni. Ni shule chache nchini ambazo zimekuwa zikifaulisha wanafunzi masomo ya sayansi, hii ni kutokana...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Maabara zawavutia wanafunzi masomo

NA SAMWEL MWANGA

WANAFUNZI wa  Shule ya Sekondari Mwamishali  wilayani Meatu  wameanza kusoma masomo ya sayansi kwa vitendo huku wakipongeza uamuzi wa Rais Kikwete wa kuagiza ujenzi wa maabara kwa shule zote za kata.

Pongezi hiyo zilitolewa jana   ba  Mariamu Mwirabi,  mbele ya Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Juma Khatib Chum  alipofungua
vyumba vitatu vya maabara katika shule hiyo.

Mwirabi alisema kabla ya agizo hilo walikuwa wakisoma masomo ya sayansi kwa kutumia picha na michoro hali...

 

10 years ago

Habarileo

Wahandisi wahamasisha masomo ya sayansi

TAASISI ya Wahandisi Tanzania (IET) imeshauri Serikali kuanzisha kampeni za kuhamasisha masomo ya sayansi na teknolojia katika shule za msingi na sekondari kuwezesha taifa kuwa na wataalamu wa kutosha kutoka katika eneo hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali iwekeze masomo ya sayansi’

MPANGO wa Serikali wa Matokeo Makubwa Sasa unaweza ukafanikiwa kuleta tija ya kimaendeleo katika sekta ya elimu nchini, iwapo serikali itawekeza zaidi katika masomo ya sayansi na hisabati shuleni. Pia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi wahimizwa masomo ya sayansi

WANAFUNZI wa shule mbalimbali nchini wametakiwa kujifunza masomo ya sayansi kutokana na umuhimu wake katika ugunduzi wa vitu ili kusaidia taifa kimaendeleo. Imeelezwa kuwa idadi kubwa ya wanafunzi na walimu...

 

9 years ago

Habarileo

Wahimizwa kutokwepa masomo ya sayansi

WANAFUNZI nchini wametakiwa kuongeza juhudi katika masomo ya sayansi na kuacha tabia ya kuyakwepa masomo hayo.

 

10 years ago

Habarileo

JK aahidi maamuzi mazito maabara za masomo

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete, amesema atafanya maamuzi mazito Novemba mwaka huu kwa viongozi ambao watashindwa kutekeleza agizo lake la ukamilishaji wa ujenzi wa vyumba vya maabara tatu za masomo ya sayansi kwa kila shule ya sekondari.

 

10 years ago

Habarileo

Kinana awashauri wanafunzi kusoma masomo ya sayansi

WANAFUNZI nchini wameshauriwa kusoma masomo ya sayansi ili kujiweka katika mazingira mazuri ya kuajiriwa na taasisi za ndani na nje ya nchi kwa urahisi.

 

10 years ago

Habarileo

Mbinu mpya masomo ya sayansi kuwavuta wanafunzi

Dk Shukuru KawambwaSERIKALI imesema inatarajia kuwepo mabadiliko makubwa katika ufundishaji wa masomo ya sayansi na wanafunzi kupenda somo hilo baada ya walimu 2,000 wa sayansi kupatiwa mafunzo ya mbinu za kufundisha somo hilo.

 

11 years ago

Habarileo

Wasichana nchini kuendelea kufadhiliwa masomo ya sayansi

SERIKALI imeahidi kuendelea kutoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wa kike, wanaosoma masomo ya sayansi katika ngazi ya uzamili na uzamivu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani