msamaria mwema wa uingereza atuma misaada kwa mzazi wa mapacha wanne wa mbeya
Misaada ya hali na mali imeanza kumiminika kwa ajili ya Aida Nakawala (25) mkaazi wa kijiji cha Chiwanda, Wilaya ya Momba, Mkoa wa Mbeya, ambaye alijifungua watoto wanne mapacha kwa mkupuo (Quadruplets) usiku wa kuamkia Mwaka mpya wa 2014 katika Hospitali ya Wazazi ya META jijini Mbeya. Msamaria mwema wa Uingereza, Bi Gladness Sariah, ametuma maboksi mawili yenye nguo na vitu kadhaa vya watoto, ambavyo vimewasili salama katika ofisi za Michuzi Media Group (MMG) inayoendesha Globu ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi25 Feb
News Alert: misaada kwa yatima pamoja na ya mapacha wanne yawasili salama mbeya
Kituo cha...
10 years ago
Michuzi11 Sep
msamaria mwema atuma wheelchair kwa mama scholastica Mhagama mlemavu anayeishi mpweke huko Peramiho, Songea
![](http://www.yesmobility.com/sitebuildercontent/sitebuilderpictures/Tuffcare/venture_227_manual_wheelchair.jpg)
10 years ago
Dewji Blog16 Dec
JK atuma salam za rambirambi za msiba wa mama mzazi wa Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale, mwili wasafirishwa kwenda Mbeya leo kwa mazishi
![IMG_9952](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_9952.jpg)
Mwili wa Marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mfumu mama yao Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale ukiwa unaandaliwa tayari kwa...
10 years ago
Dewji Blog12 Sep
Msamaria mwema kutoka Maryland atoa msaada wa Wheelchair kwa kikongwe aliyekata tamaa kuishi
![venture_227_manual_wheelchair](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/09/venture_227_manual_wheelchair.jpg)
Msamaria mwema ametoa Wheelchair kwa Scholastica Mhagama (76) mwenye ulemavu wa viungo anayeishi pekee yake katika kibanda kilichoezekwa kwa nyasi.
Bibi huyo mkazi wa Kijiji cha Lundusi Kata ya Peramiho wilayani Songea Mkoa wa Ruvuma, Msamaria huyu kutoka Maryland Marekani Bi. Joyce Rwehumbiza aliguswa na stori iliyoandikwa na gazeti la Mwananchi iliyoweka mawasiliano na albano.midelo@gmail.com, 0688551355 iliyobeba kichwa cha habari “Bibi ajitengenezea jeneza baada ya kuchoshwa na...
10 years ago
VijimamboRAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE ATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI ZA MSIBA WA MAMA MZAZI WA KULWA,DOTTO NA NICO MWAIBALE, MWILI WASAFIRISHWA KWENDA MBEYA LEO KWA MAZISHI.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-10JxlHGicaQ/VRveT2Z4Y7I/AAAAAAAHOw4/sZmHrocx1C0/s72-c/unnamed%2B(11).jpg)
MAMA AJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO MKOANI KIGOMA, AOMBA MSAADA KWA WATANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-10JxlHGicaQ/VRveT2Z4Y7I/AAAAAAAHOw4/sZmHrocx1C0/s1600/unnamed%2B(11).jpg)
MKAZI wa Kijiji cha Buzebazeba katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, Zuwena Abdu (29) jana amejifungua watoto mapacha wanne kwa mkupuo katika Hospital ya Mkoa wa Kigoma (Maweni).
Zuwena alisema kuwa watoto aliojifungua wenye jinsia ya kiume ni watatu na mmoja ambaye ni wa mwisho ana jinsia ya kike ,wa kwanza akiwa na uzito wa kilo 1.8,pili 2.5 wa tatu 1.7 na wanne 1.7.
Alisema watoto hao alijifungua jana majira ya saa kumi na mbili jioni salama kwa njia...
11 years ago
GPLALIYEJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO AENDELEA VIZURI AOMBA MSAADA