UG na Malawi waidhinisha mkataba wa M23
Rais wa Malawi Joyce Banda na mwenzake wa Uganda Yoweri Museveni wasaini kuwa wadhamini kwa mkataba wa amani kati ya DRC na M23.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili13 Dec
Ni rasmi - Mkataba wa amani DRC na M23
Viongozi wa Maziwa makuu, akiwemo mwenyekiti wao Yoweri Museveni, wameidhinisha mkataba wa amani kati ya M23 na DRC jijini Nairobi
11 years ago
MichuziTANZANIA NA MALAWI ZASAINI MKATABA WA KUANZISHA KITUO CHA PAMOJA CHA UHAMIAJI NA USHURU WA FORODHA
Na Ally Kondo, Lilongwe
Nchi za Afrika zimehimizwa kufanya biashara baina yao ili kujiletea maendeleo, badala ya kusubiri misaada isiyokuwa na uhakika kutoka nchi wahisani. Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Salum (Mb) wakati wa hafla ya uwekaji saini Mkataba wa kuanzisha Kituo cha Pamoja cha Uhamiaji na Ushuru wa Forodha cha Songwe - Kasumulu kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Malawi.
Uwekaji saini huo ulifanyika Lilongwe, Malawi leo Jumatatu tarehe 10 Machi,...
9 years ago
BBCSwahili19 Dec
Wanyarwanda waidhinisha marekebisho ya katiba
Wanyarwanda wameunga mkono kwa wingi marekebisho ya katiba ambayo yatamruhusu Rais Paul Kagame kuendelea kuongoza, matokeo ya awali ya kura ya maoni yanaonyesha.
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
Majaji waidhinisha ushindi wa Ouattara Ivory Coast
Majaji wa mahakama ya kikatiba Ivory Coast wamethibitisha Rais Alassane Ouattara ndiye mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanyika siku nane zilizopita.
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Mawaziri waidhinisha kura ya muda wa rais Rwanda
Baraza la mawaziri Rwanda limeidhinisha kufanyika kwa kura ya mamuzi kuhusu marekebisho ya katiba yatakayomruhusu Rais Paul Kagame kuendelea kukaa madarakani.
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Wapiganaji wa M23 kurudi DRC
Rais wa kundi la waasi wa M23 amesema kuwa wapiganaji zaidi ya mia moja wa kundi hilo walioko nchini Uganda hawajatoroka .
10 years ago
BBCSwahili09 Oct
UN:M23 walibaka mamia ya wanawake
Kikosi cha UN katika Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, kimetuhumu kundi la waasi wa zamani M23 kwa kufanya uovu mkubwa ikiwemo ubakaji
10 years ago
BBCSwahili13 Oct
Waasi wa M23 wakana kutenda uovu
Kundi la wasi la M23 limekanusha madai ya kufanya uovu kama vile mauji ya kiholela pamoja na ubakaji katika eneo lililokuwa likidhidhiti katika Kivu Kaskazini.
11 years ago
BBCSwahili27 May
Tanzania yasema M23 walitoka Rwanda
Tanzania imesema inayo uhakika kuwa waasi wa M23 walioondolewa nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo ni raia Rwanda.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania