Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa washikilia msimamo wao

Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umeshikilia msimamo wake kuwa uko tayari kufanya mazungumzo ya kumaliza mpasuko uliojitokeza katika Bunge Maalumu la Katiba na siyo kurudi bungeni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

CUF ‘washikilia’ urais wa Ukawa

Wafuasi wa vyama vinavyounda Ukawa.KITENDAWILI cha Chama cha Wananchi (CUF) kuridhia hoja ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kusimamisha mgombea mmoja wa nafasi ya urais kwa upande wa vyama vya upinzani, kinatarajiwa kuteguliwa Jumamosi ya wiki ijayo, ambapo Baraza Kuu la Uongozi wa Taifa wa chama hicho litakaa kujadili na kutoa uamuzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CWT yasisitiza msimamo wao ni serikali tatu

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimesisitiza kuwa msimamo wa chama hicho ni muundo wa serikali tatu. Akizungumza na waandishi wa  habari jijini Dar es Salaam jana, Rais wa CWT, Gratian...

 

10 years ago

Vijimambo

NCHI ZA AFRIKA ZATOA MSIMAMO WAO KWA IMF NA WB

Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile kushoto kwake kwa pamoja wakifuatilia kwa makini mkutano wa 10 wa kisheria wa kundi la Afrika (Afrikca Group Constituency) uliokuwa ukiendelea mjini Washington DC.Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiwa na Katibu Mkuu wa kwa pamoja wakifuatilia kwa makini mkutano wa 10 wa kisheria kundi la Afrika (Afrikca Group Constituency) uliokuwa ukiendelea mjini...

 

10 years ago

Michuzi

NCHI ZA AFRIKA ZA TOA MSIMAMO WAO KWA IMF NA WB

Wakati Mikutano ya Benki ya Dunia na Shirika la kifedha la kimataifa ikiendelea hapa Mjini Washington Dc. Mawaziri wa fedha wameweka misimamo yao juu ya sera ambazo zinawekwa na Benki ya Dunia.
Akizungumza na vyombo vya habari,waziri wa fedha wa Tanzania Mhe. Saada Salum Mkuya alisema” Sisi kama nchi tuliwasilisha nini tunaona katika utekelezaji wa mipango ya Benki. Tumeshukuru sana Benki ya Dunia kwa kuendeleza mipango ya kuweza kusaidia nchi za kiafrika ,hususan kwenye mipango...

 

11 years ago

Habarileo

Posho yalainisha msimamo Ukawa

Adam MalimaUTAMU wa posho katika Bunge Maalumu la Katiba, umeathiri siasa za baadhi ya wajumbe wa Bunge hilo waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

 

9 years ago

Mtanzania

Ukawa yatoa tathmini ya ushindi wao

ReginaldMunisiNA MAULI MUYENJWA, DAR ES SALAAM

IKIWA zimebaki siku mbili kabla ya Uchaguzi Mkuu kufanyika, Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umetoa tathmini yake ya ushindi kwa asilimia 61 kwa wagombea wake wanaogombania nafasi ya urais, ubunge na udiwani.

Tathmini hiyo imetolewa jana na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Ukawa, Regnald Munisi, wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu uchaguzi huo.

Alisema tathmini hiyo waliifanya mikoa yote kwa sampuli ya watu 30,000.

“Tuna uhakika kwa ushindi wa...

 

9 years ago

Michuzi

UKAWA WATAJA MAJIMBO WATAYOSIMAMISHA WAGOMBEA WAO

  Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, akizungumza katika mkutano huo. Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi,  Nderakindo Kessy (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya chama hicho, Ilala Dar es Salaam jana, wakati akitangaza majimbo yaliyochini ya vyama vinavyounda Ukawa ambayo vyama hivyo vitasimamisha wagombea wao katika uchaguzi mkuu. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Masudi Makunjunga. Kaimu...

 

10 years ago

Michuzi

MBOWE:TUTAAKIKISHA KILA MWANANCHI AMEJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA MPIGA KURA LAKINI KWA UPANDE WA KATIBA MSIMAMO WETU KAMA UKAWA UKO PALE PALE WA KUTOSHIRIKI

Mwenyekiti wa Chadema Freman Mbowe akiwa anasoma utuba wakati wa ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa  chama hicho wa kanda ya kaskazini unaofanyika leo katika  hotel ya new Arusha jijini hapaviongizo wa chadema  akiwemo mwenyekiti wakiwa wanasali kwanza kabla ya mkutano wa viongozi wa kanda ya kaskazini kuanza Naibu katibu mkuu wa Chadema Salum Mwalimu akiwa anaongea na waandishi wa habari Na Woinde Shizza
MWENYEKITI wa chama cha demokrasi na maendeleo Chadema Freeman Mbowe amesema kuwa  chama...

 

10 years ago

Vijimambo

MBOWE:TUTAHAKIKISHA KILA MWANANCHI AMEJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA MPIGA KURA LAKINI KWA UPANDE WA KATIBA MSIMAMO WETU KAMA UKAWA UKO PALE PALE WA KUTOSHIRIKI

Mwenyekiti wa Chadema Freman Mbowe akiwa anasoma utuba wakati wa ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa chama hicho wa kanda ya kaskazini unaofanyika leo katika hotel ya new Arusha jijini hapa.viongizo wa chadema akiwemo mwenyekiti wakiwa wanasali kwanza kabla mkutano wa viongozi wa kanda ya kaskazini kuanza.Naibu katibu mkuu wa Chadema Salum Mwalimu akiwa anaongea nawaandishi wahabari
MWENYEKITI wa chama cha demokrasi na maendeleo Chadema Freeman Mbowe amesema kuwa chama chao kimejipanga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani