Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NCHI ZA AFRIKA ZA TOA MSIMAMO WAO KWA IMF NA WB

Wakati Mikutano ya Benki ya Dunia na Shirika la kifedha la kimataifa ikiendelea hapa Mjini Washington Dc. Mawaziri wa fedha wameweka misimamo yao juu ya sera ambazo zinawekwa na Benki ya Dunia.
Akizungumza na vyombo vya habari,waziri wa fedha wa Tanzania Mhe. Saada Salum Mkuya alisema” Sisi kama nchi tuliwasilisha nini tunaona katika utekelezaji wa mipango ya Benki. Tumeshukuru sana Benki ya Dunia kwa kuendeleza mipango ya kuweza kusaidia nchi za kiafrika ,hususan kwenye mipango...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NCHI ZA AFRIKA ZATOA MSIMAMO WAO KWA IMF NA WB

Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile kushoto kwake kwa pamoja wakifuatilia kwa makini mkutano wa 10 wa kisheria wa kundi la Afrika (Afrikca Group Constituency) uliokuwa ukiendelea mjini Washington DC.Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiwa na Katibu Mkuu wa kwa pamoja wakifuatilia kwa makini mkutano wa 10 wa kisheria kundi la Afrika (Afrikca Group Constituency) uliokuwa ukiendelea mjini...

 

10 years ago

Habarileo

Nchi za Afrika zaweka msimamo IMF, WB

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.WAKATI mikutano ya Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikiendelea hapa, mawaziri wa fedha wa Afrika wameweka misimamo yao juu ya sera ambazo zinawekwa na Benki ya Dunia.

 

10 years ago

GPL

NCHI ZA JIRANI NA AFRIKA KUSINI ZAWEKA MIKAKATI YA KUWAONDOA RAIA WAO NCHINI HUMO

Raia wa Afrika Kusini wakiwa wameshika silaha wakati wa vurugu za kuwashambulia raia wa kigeni nchini humo. Polisi wa Afrika Kusini wakijaribu kutuliza ghasia. Raia wa Afrika kusini akiwa amejibanza na kisu…

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa washikilia msimamo wao

Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umeshikilia msimamo wake kuwa uko tayari kufanya mazungumzo ya kumaliza mpasuko uliojitokeza katika Bunge Maalumu la Katiba na siyo kurudi bungeni.

 

9 years ago

Press

Mkutano wa 10 wa uhamaji kutoka mfumo wa Analogia kwenda Digitali kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC)

Picha na 1

Picha na 2

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene akifunga Mkutano wa 10 wa  uhamaji kutoka mfumo wa Analogia kwenda Digitali kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) kwa niaba ya Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo jana. Tanzania imepata heshima ya kuwa mwenyeji wa mkutano huo baada  ya  kuonekana kufanya vizuri katika uhamaji wa matumizi ya mfumo wa analogia kwenda digitali kwa wakati.

Picha na 3

Mkurugenzi wa Idara...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CWT yasisitiza msimamo wao ni serikali tatu

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimesisitiza kuwa msimamo wa chama hicho ni muundo wa serikali tatu. Akizungumza na waandishi wa  habari jijini Dar es Salaam jana, Rais wa CWT, Gratian...

 

11 years ago

Mwananchi

Afrika wana msimamo mkali

>Wakatoliki barani Afrika na Ufilipino ndio wanaoonekana kuwa na misimamo mikali, huku wale wa Argentina, Brazili, Hispania na Ufaransa wakiwa wanataka kuona mabadiliko ndani ya Kanisa hilo.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ASHUKURU BENKI YA MAENDELEO YA ULAYA KWA MIKOPO NA MISAADA INAYOITOA KWA NCHI ZA AFRIKA, KARIBIANI NA PASIFIKI (ACP)

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa nchi za ACP Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akishukuru Benki ya Maendeleo ya Ulaya (EIB) kwa kutoa  mikopo ya gharama nafuu na kusaidia Maendeleo ya nchi za ACP. Balozi Kamala ameitaka Benki hiyo kuongeza kiwango cha mikopo inayotoa katika nchi za ACP kutoka asilimia 10 ya mikopo inayotoa sasa hadi asilimia 20. 
Kamati ya Mabalozi wa nchi za ACP leo imekutana na Uongozi wa Benki ya Maendeleo ya Ulaya, Luxembourg...

 

10 years ago

StarTV

Mradi wa Dat wa kwanza kwa nchi za Afrika kuzinduliwa

 

Serikali imezindua mafunzo ya madereva wa Mradi wa Mabasi yaendayo haraka DART ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi huo wa kwanza katika nchi za Afrika Mashariki wenye lengo la  kukabiliana na tatizo la msongamano wa magari.

Tanzania inakuwa nchi ya pili kutekeleza mradi huo kwa nchi za Afrika baada ya Afrika ya kusini na kwamba mradi huo unatarajia kuanza kutumika mapema mwezi ujao kwa kuwezesha abiria 450,000 hadi 500,000 kupata huduma ya usafiri kwa muda wa nusu saa kutoka maeneo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani