Afrika wana msimamo mkali
>Wakatoliki barani Afrika na Ufilipino ndio wanaoonekana kuwa na misimamo mikali, huku wale wa Argentina, Brazili, Hispania na Ufaransa wakiwa wanataka kuona mabadiliko ndani ya Kanisa hilo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi03 Jun
Rais wa Malawi ana msimamo mkali Ziwa Nyasa
10 years ago
BBCSwahili06 Aug
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-TwJ7N0njOcE/VX3bvGNRceI/AAAAAAAHfX0/-EjfuASaM4g/s72-c/unnamed%2B%252850%2529.jpg)
Wanazuoni wakutana kujadili suala la 'Msimamo Mkali katika Dini' Maana, Matukio, Sababu na Suluhisho
![](http://1.bp.blogspot.com/-TwJ7N0njOcE/VX3bvGNRceI/AAAAAAAHfX0/-EjfuASaM4g/s640/unnamed%2B%252850%2529.jpg)
10 years ago
Habarileo21 Apr
Nchi za Afrika zaweka msimamo IMF, WB
WAKATI mikutano ya Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikiendelea hapa, mawaziri wa fedha wa Afrika wameweka misimamo yao juu ya sera ambazo zinawekwa na Benki ya Dunia.
10 years ago
MichuziNCHI ZA AFRIKA ZA TOA MSIMAMO WAO KWA IMF NA WB
Akizungumza na vyombo vya habari,waziri wa fedha wa Tanzania Mhe. Saada Salum Mkuya alisema” Sisi kama nchi tuliwasilisha nini tunaona katika utekelezaji wa mipango ya Benki. Tumeshukuru sana Benki ya Dunia kwa kuendeleza mipango ya kuweza kusaidia nchi za kiafrika ,hususan kwenye mipango...
10 years ago
VijimamboNCHI ZA AFRIKA ZATOA MSIMAMO WAO KWA IMF NA WB
10 years ago
Dewji Blog29 Oct
Msako mkali waanza mauaji ya Senzo Afrika Kusini
Na Mwandishi wetu
Polisi nchini Afrika Kusini wameanzisha msako mkali dhidi ya mtu aliyempiga risasi na kumuua mlinda mlango na nahodha wa timu ya taifa hilo Senzo Meyiwa(pichani).
Ili kufanikisha uchunguzi huo ufanyike kwa urahisi na haraka, polisi wameahidi zawadi nono ya randi 250,000 sawa na dola za kimarekani 14,000 hadi $23,000 kwa yeyote atakayetoa taarifa na kufanikisha kukamatwa kwa mtu huyo.
Taarifa za jeshi la polisi zinasema kuwa watu wawili waliingia ndani na mmoja alibaki nje...
10 years ago
Mwananchi11 Oct
KANDA BONGO MAN: Mkali aliyeitikisa Afrika kwa mtindo wa Kwasakwasa