Msako mkali waanza mauaji ya Senzo Afrika Kusini
Na Mwandishi wetu
Polisi nchini Afrika Kusini wameanzisha msako mkali dhidi ya mtu aliyempiga risasi na kumuua mlinda mlango na nahodha wa timu ya taifa hilo Senzo Meyiwa(pichani).
Ili kufanikisha uchunguzi huo ufanyike kwa urahisi na haraka, polisi wameahidi zawadi nono ya randi 250,000 sawa na dola za kimarekani 14,000 hadi $23,000 kwa yeyote atakayetoa taarifa na kufanikisha kukamatwa kwa mtu huyo.
Taarifa za jeshi la polisi zinasema kuwa watu wawili waliingia ndani na mmoja alibaki nje...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xaQMj3Ex_5c/Xqcn47UEeVI/AAAAAAALoZY/gsSZ7aN8e2AmqHCwq3AcCjqVxblYOF0GgCLcBGAsYHQ/s72-c/FB_IMG_1588006499134-1.jpg)
MSAKO MKALI WA SUKARI WAANZA
![](https://1.bp.blogspot.com/-xaQMj3Ex_5c/Xqcn47UEeVI/AAAAAAALoZY/gsSZ7aN8e2AmqHCwq3AcCjqVxblYOF0GgCLcBGAsYHQ/s1600/FB_IMG_1588006499134-1.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/FB_IMG_1588006506529.jpg)
**********************************
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu akiambatana na Kamati ya ulinzi na usalama ya Tarafa wameongoza msako mkali wa kukagua utekelezaji wa bei elekezi ya sukari iliyotolewa na Serikali hivi karibuni.
Gavana Shilatu alipita kwenye maduka ya jumla na ya rejareja kuona namna Wafanyabiashara wanavyouza sukari ambapo kwa bei ya rejareja hawatakiwi kuuza zaidi ya bei ya Tsh. Elfu tatu (3,000/=) kwa kilogram moja na kukuta maduka...
11 years ago
Michuzi04 Jul
NEWS ALERT: Msako mkali waanza Arusha baada ya Sheikh wa msikiti wa Qiblatan kujeruhiwa kwa bomu
Kutoka Arusha taarifa zinasema msako mkali unaendelea kufuatia shambulio la bomu la mkono alilotupiwa Sheikh wa msikiti wa Qiblatan Sood Ally Sood (37) uliopo eneo la Kilombero jijini Arusha wakati akila daku.Kwa mujibu wa taarifa hiyo imedaiwa kuwa Sheikh huyo amejeruhiwa sehemu mbalimbali ikiwemo miguu yake yote miwili sehemu za mapajani pamoja na Kifuani na kupoteza baadhi ya vidole vya miguu yote miwili.Mbali na Sheikh huyo pia kuna mtu mwingine aliyekuwa nyumbani kwake hapo...
11 years ago
CloudsFM25 Jun
POLISI KUFANYA MSAKO MKALI KWA WATUHUMIWA WA MAUAJI YA SISTA WA KANISA KATOLIKI
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imeanzisha msako mkali, kuwatafuta watu waliohusika na mauaji ya Mhasibu wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makoka jijini Dar es Salaam, Sista Cresencia Kapuri (50), ambao utahusisha vikosi vyote vya Polisi. Vikosi hivyo ni Usalama Barabarani, askari wa doria wanaotumia pikipiki na magari, wapelelezi na askari Polisi wa kawaida.
Mauaji ya mtawa huyo, yalitokea juzi mchana katika eneo la Ubungo Riverside, jijini humo, ambapo alipigwa risasi na watu wanaodaiwa...
10 years ago
BBCSwahili16 Jan
Ubelgiji yafanya msako mkali wa magaidi
11 years ago
BBCSwahili04 May
Nigeria wafanya msako mkali Abuja
10 years ago
BBCSwahili13 Jul
Msako mkali Mexico wa muuza mihadarati
10 years ago
Mwananchi27 Dec
Msako mkali kwa waliochoma kambi
10 years ago
BBCSwahili17 Nov
Msako mkali dhidi ya misikiti Mombasa