Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msako mkali kwa waliochoma kambi

>Serikali imetangaza kuanza msako wa kuwatafuta viongozi wa kisiasa na watu wengine, waliopanga na kuratibu tukio la kuchoma moto Kambi ya Watalii ya Ndarakwai wilayani Siha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JESHI LA POLISI LAENDESHA MSAKO MKALI KWA WALIOWAUA ASKARI WAWILI

Kamishina  wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) …Akisisitiza jambo. Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Kova kwa makini.…

 

11 years ago

CloudsFM

POLISI KUFANYA MSAKO MKALI KWA WATUHUMIWA WA MAUAJI YA SISTA WA KANISA KATOLIKI

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imeanzisha msako mkali, kuwatafuta watu waliohusika na mauaji ya Mhasibu wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makoka jijini Dar es Salaam, Sista Cresencia Kapuri (50), ambao utahusisha vikosi vyote vya Polisi. Vikosi hivyo ni Usalama Barabarani, askari wa doria wanaotumia pikipiki na magari, wapelelezi na askari Polisi wa kawaida.
Mauaji ya mtawa huyo, yalitokea juzi mchana katika eneo la Ubungo Riverside, jijini humo, ambapo alipigwa risasi na watu wanaodaiwa...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Msako mkali waanza Arusha baada ya Sheikh wa msikiti wa Qiblatan kujeruhiwa kwa bomu

 

Kutoka Arusha taarifa zinasema msako mkali unaendelea kufuatia shambulio la bomu la mkono alilotupiwa  Sheikh wa msikiti wa Qiblatan Sood Ally Sood (37) uliopo eneo la Kilombero jijini Arusha  wakati akila daku.Kwa mujibu wa taarifa hiyo imedaiwa kuwa Sheikh huyo amejeruhiwa sehemu mbalimbali ikiwemo miguu yake yote miwili sehemu za mapajani pamoja na Kifuani na kupoteza baadhi ya vidole vya miguu yote miwili.

Mbali na Sheikh huyo pia kuna mtu mwingine aliyekuwa nyumbani kwake hapo...

 

5 years ago

Michuzi

MSAKO MKALI WA SUKARI WAANZA



**********************************
Na Mwandishi wetu Mihambwe 
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu akiambatana na Kamati ya ulinzi na usalama ya Tarafa wameongoza msako mkali wa kukagua utekelezaji wa bei elekezi ya sukari iliyotolewa na Serikali hivi karibuni. 
Gavana Shilatu alipita kwenye maduka ya jumla na ya rejareja kuona namna Wafanyabiashara wanavyouza sukari ambapo kwa bei ya rejareja hawatakiwi kuuza zaidi ya bei ya Tsh. Elfu tatu (3,000/=) kwa kilogram moja na kukuta maduka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Msako mkali Mexico wa muuza mihadarati

Mamlaka ya nchini Mexico limeanza msako mkali wa kumtafuta Joaguin Guzman gwiji la biashara ya madawa ya kulevya duniani, kufuatia kutoroka kwake katika gereza lenye ulinzi mkali mwishoni mwa wiki.

 

11 years ago

BBCSwahili

Nigeria wafanya msako mkali Abuja

Majeshi ya usalama ya Nigeria yamewakamata watu kadha katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja

 

10 years ago

BBCSwahili

Ubelgiji yafanya msako mkali wa magaidi

Ubelgiji imefanya operesheni kali ya ugaidi ikiwasaka watuhumiwa wanaodaiwa ni wapigani wa kiislamu waliorejea kutoka Syria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Msako mkali dhidi ya misikiti Mombasa

Matu mmoja ameuawa na 200 kukamatwa katika msako mkali wa polisi dhidi ya misikiti inayotoa mafunzo ya itikadi kali za kidini mjini Mombasa pwani ya Kenya.

 

10 years ago

StarTV

Msako mkali watembezwa dhidi ya misikiti Mombasa

Polisi nchini Kenya wanasema kuwa wamenasa maguruneti na silaha nyinginezo usiku wa kuamkia leo katika msako mkali walioanza kufanya dhidi ya misikiti inayodaiwa kutoa mafunzo ya itikadi kali za kidini mjini Mombasa pwani ya Kenya.

Mtu mmoja aliuawa na wengine zaidi ya 250 kukamatwa katika msako huo unaolenga misikiti inayosemekana kutoa mafunzo kusiana na harakati za wapiganaji wa kiisilamu wa Al Shabaab nchini Somalia.

Polisi wanadai kuwa misikiti hiyo ikiwemo Masjid Musa inatumika kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani