Msako mkali dhidi ya misikiti Mombasa
Matu mmoja ameuawa na 200 kukamatwa katika msako mkali wa polisi dhidi ya misikiti inayotoa mafunzo ya itikadi kali za kidini mjini Mombasa pwani ya Kenya.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV17 Nov
Msako mkali watembezwa dhidi ya misikiti Mombasa
Polisi nchini Kenya wanasema kuwa wamenasa maguruneti na silaha nyinginezo usiku wa kuamkia leo katika msako mkali walioanza kufanya dhidi ya misikiti inayodaiwa kutoa mafunzo ya itikadi kali za kidini mjini Mombasa pwani ya Kenya.
Mtu mmoja aliuawa na wengine zaidi ya 250 kukamatwa katika msako huo unaolenga misikiti inayosemekana kutoa mafunzo kusiana na harakati za wapiganaji wa kiisilamu wa Al Shabaab nchini Somalia.
Polisi wanadai kuwa misikiti hiyo ikiwemo Masjid Musa inatumika kwa...
10 years ago
StarTV27 Nov
Misikiti iliofungwa yafunguliwa Mombasa.
Misikiti minne iliofungwa na maafisa wa polisi wiki iliopita baada ya kuchukuliwa na vijana wenye itikadi kali za kiislamu hatimaye imefunguliwa.
Hatua ya kuifungua misikiti hiyo ya Minaa,Sakina,Musa na Swafaa inajiri baada ya siku mbili za mazungumzo kati ya viongozi wakuu wa kiislamu,wataalam na uongozi wa kaunti ya Mombasa.
Maelezo ya mazungumzo hayo yalioandaliwa na Gavana wa Mombasa Hassan Joho na kaunti kamishna Nelson Marwa yamefanywa kuwa siri.
Kabla ya misikiti hiyo kufunguliwa...
10 years ago
BBCSwahili27 Nov
Misikiti iliofungwa kufunguliwa Mombasa
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xaQMj3Ex_5c/Xqcn47UEeVI/AAAAAAALoZY/gsSZ7aN8e2AmqHCwq3AcCjqVxblYOF0GgCLcBGAsYHQ/s72-c/FB_IMG_1588006499134-1.jpg)
MSAKO MKALI WA SUKARI WAANZA
![](https://1.bp.blogspot.com/-xaQMj3Ex_5c/Xqcn47UEeVI/AAAAAAALoZY/gsSZ7aN8e2AmqHCwq3AcCjqVxblYOF0GgCLcBGAsYHQ/s1600/FB_IMG_1588006499134-1.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/FB_IMG_1588006506529.jpg)
**********************************
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu akiambatana na Kamati ya ulinzi na usalama ya Tarafa wameongoza msako mkali wa kukagua utekelezaji wa bei elekezi ya sukari iliyotolewa na Serikali hivi karibuni.
Gavana Shilatu alipita kwenye maduka ya jumla na ya rejareja kuona namna Wafanyabiashara wanavyouza sukari ambapo kwa bei ya rejareja hawatakiwi kuuza zaidi ya bei ya Tsh. Elfu tatu (3,000/=) kwa kilogram moja na kukuta maduka...
10 years ago
Mwananchi27 Dec
Msako mkali kwa waliochoma kambi
11 years ago
BBCSwahili04 May
Nigeria wafanya msako mkali Abuja
10 years ago
BBCSwahili13 Jul
Msako mkali Mexico wa muuza mihadarati
10 years ago
BBCSwahili16 Jan
Ubelgiji yafanya msako mkali wa magaidi
10 years ago
Dewji Blog29 Oct
Msako mkali waanza mauaji ya Senzo Afrika Kusini
Na Mwandishi wetu
Polisi nchini Afrika Kusini wameanzisha msako mkali dhidi ya mtu aliyempiga risasi na kumuua mlinda mlango na nahodha wa timu ya taifa hilo Senzo Meyiwa(pichani).
Ili kufanikisha uchunguzi huo ufanyike kwa urahisi na haraka, polisi wameahidi zawadi nono ya randi 250,000 sawa na dola za kimarekani 14,000 hadi $23,000 kwa yeyote atakayetoa taarifa na kufanikisha kukamatwa kwa mtu huyo.
Taarifa za jeshi la polisi zinasema kuwa watu wawili waliingia ndani na mmoja alibaki nje...