Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Misikiti iliofungwa yafunguliwa Mombasa.

Misikiti minne iliofungwa na maafisa wa polisi wiki iliopita baada ya kuchukuliwa na vijana wenye itikadi kali za kiislamu hatimaye imefunguliwa.

Hatua ya kuifungua misikiti hiyo ya Minaa,Sakina,Musa na Swafaa inajiri baada ya siku mbili za mazungumzo kati ya viongozi wakuu wa kiislamu,wataalam na uongozi wa kaunti ya Mombasa.

Maelezo ya mazungumzo hayo yalioandaliwa na Gavana wa Mombasa Hassan Joho na kaunti kamishna Nelson Marwa yamefanywa kuwa siri.

Kabla ya misikiti hiyo kufunguliwa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Misikiti iliofungwa kufunguliwa Mombasa

Misikiti minne iliofungwa na maafisa wa polisi baada ya kuchukuliwa na vijana wenye itikadi kali inatarajiwa kufunguliwa hii leo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Msako mkali dhidi ya misikiti Mombasa

Matu mmoja ameuawa na 200 kukamatwa katika msako mkali wa polisi dhidi ya misikiti inayotoa mafunzo ya itikadi kali za kidini mjini Mombasa pwani ya Kenya.

 

10 years ago

StarTV

Msako mkali watembezwa dhidi ya misikiti Mombasa

Polisi nchini Kenya wanasema kuwa wamenasa maguruneti na silaha nyinginezo usiku wa kuamkia leo katika msako mkali walioanza kufanya dhidi ya misikiti inayodaiwa kutoa mafunzo ya itikadi kali za kidini mjini Mombasa pwani ya Kenya.

Mtu mmoja aliuawa na wengine zaidi ya 250 kukamatwa katika msako huo unaolenga misikiti inayosemekana kutoa mafunzo kusiana na harakati za wapiganaji wa kiisilamu wa Al Shabaab nchini Somalia.

Polisi wanadai kuwa misikiti hiyo ikiwemo Masjid Musa inatumika kwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Misikiti ya Canada na US yakabiliwa na tishio

Misikiti nchini Marekani na Canada inakabiliwa na ongezeko la uharibifu na vitisho tangu shambulio la Paris.

 

10 years ago

BBCSwahili

Misikiti minane kufungwa Tunisia

Utawala nchini Tunisia unasema kuwa utafunga misikiti minane wiki moja inayokuja kwa madai kuwa inachochea ghasia.

 

10 years ago

BBCSwahili

IS yakiri kushambulia misikiti Yemen

Kundi la Islamic State linasema kuwa wapiganaji wake waliendesha mashambulizi ya kujitoa mhanga kwenye misikiti nchini Yemen.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ni misikiti 19 pekee iliosalia CAR

Balozi wa Marekani katika umoja wa mataifa anasema kuwa karibia misikiti yote katika jamhuri ya Afrika ya kati imeharibiwa

 

11 years ago

BBCSwahili

Serikali yaombwa kutofunga misikiti Kenya

Hali imetulia mjini Mombasa baada ya ghasia kuzuka polisi walipovamia msikiti mmoja ambapo walidai kuwa vijana walikuwa wanapewa mafunzo ya itikadi kali za kiisilamu.

 

10 years ago

Mtanzania

Dar yaongoza kesi za misikiti, makanisa

philip salibokoNa Kulwa Karedia, Dar es Salaam
SERIKALI imesema kuna fukuto kubwa la kesi za misikiti na makanisa ambalo linaweza kusababisha uvunjivu wa amani kama hatua za haraka hazitachukuliwa na mamlaka zinazohusika hasa Mkoa wa Dar es Saalam.
Akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari mjini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili,Ufisili na Udhamini(RITA),Philip Saliboko alisema migogoro iliyopo sasa inatisha.
“Kuna fukuto kubwa kwenye kesi za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani