Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dar yaongoza kesi za misikiti, makanisa

philip salibokoNa Kulwa Karedia, Dar es Salaam
SERIKALI imesema kuna fukuto kubwa la kesi za misikiti na makanisa ambalo linaweza kusababisha uvunjivu wa amani kama hatua za haraka hazitachukuliwa na mamlaka zinazohusika hasa Mkoa wa Dar es Saalam.
Akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari mjini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili,Ufisili na Udhamini(RITA),Philip Saliboko alisema migogoro iliyopo sasa inatisha.
“Kuna fukuto kubwa kwenye kesi za...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Misikiti, makanisa, shule sasa kukatiwa bima za majanga

Dar es Salaam. Serikali imeanza mchakato wa kutengeneza sera mpya ya bima na kupitia sera hiyo, majengo yote makubwa, zikiwamo shule za bweni, misikiti na makanisa yatatakiwa kukatiwa bima, ili litakapojitokeza janga lolote waathirika waweze kulipwa.

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE WA UBUNGO SAID KUBENEA ASHAURI MISIKITI, MAKANISA IFUNGWE KUEPUKA CORONA

Na Said Mwishehe, Michuzi TV

MBUNGE wa Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam Said Kubenea ameshauri ni kwanini misikiti na makanisa yasifungwe ili kuepusha waumini wa dini hizo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 (Corona).

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Kubenea amesema pamoja na hatua mbalimbali ambazo zinachukuliwa na Serikali na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto lakini iko haja ya kuchukua hatua zaidi ya zilizopo sasa.

Kubenea amesema kwa mujibu wa Shirika la Afya...

 

9 years ago

Mtanzania

Bomoabomoa Dar yakumba makanisa, nyumba 25

bCHRISTINA GAULUHANGA NA RUTH MNKENI, DAR ES SALAAM

BOMOABOMOA ya nyumba na makazi zilizojengwa kinyume cha sheria iliendelea jana katika Wilaya ya Kinondoni, ambapo Kanisa la Anglikana pamoja na Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Mivumoni zimekumbwa na bomoabomoa hiyo.

Shughuli hiyo ya ubomoaji ilianza jana saa 12 asubuhi katika eneo la Mbezi Jogoo, ambapo nyumba 25, makanisa mawili, fremu mbili za biashara na sehemu ya kuoshea magari zilibomolewa.

Mbali na kanisa la Aglikana,  kanisa jingine ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Dar es Salaam yaongoza kwa kuvutia wawekezaji

Dar es Salaam. Jiji la Dar es Salaam limetajwa kuwa la kwanza kati ya majiji 20 yenye fursa zaidi barani Afrika likiongoza katika kipengele cha kuvutia wawekezaji na kipengele kidogo cha ukuaji wa pato la taifa (GDP).

 

10 years ago

Habarileo

Dar yaongoza kwa kifua kifuu nchini

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Donan MmbandoMKOA wa Dar es Salaam ni miongoni mwa mikoa minane inayoongoza nchini kwa miaka kumi mfululizo, kwa kuwa na wagonjwa wengi wa kifua kikuu.

 

11 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA MBEYA CITY UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 1-0

 Mshambuliaji machachari wa timu ya Yanga,Mrisho Ngassa (17) akichuana vikali kuwania mpira na Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius wakati wa mtanange wao wa Ligi kuu Tanzania Bara unaoendelea kufanika hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika hivi punde na Yanga wanaongoza kwa Bao 1-0 lililotiwa kimiani na Mrisho Ngassa,dakika ya 15 ya mchezo kipindi cha kwanza.  Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius akijiandaa...

 

11 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA KOMOROZINE YA NCHINI COMORO UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 2-0

 Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akiwatoka mabeki wa timu ya Komorozine ya nchini Comoro wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Yanga inaongoza kwa Bao 2-0.  Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akichuana vikali na Beki wa Timu ya Komorozine ya nchini Comoro,Ahmad Houmadi (5) wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa...

 

10 years ago

BBCSwahili

IS yakiri kushambulia misikiti Yemen

Kundi la Islamic State linasema kuwa wapiganaji wake waliendesha mashambulizi ya kujitoa mhanga kwenye misikiti nchini Yemen.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ni misikiti 19 pekee iliosalia CAR

Balozi wa Marekani katika umoja wa mataifa anasema kuwa karibia misikiti yote katika jamhuri ya Afrika ya kati imeharibiwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani