Bomoabomoa Dar yakumba makanisa, nyumba 25
CHRISTINA GAULUHANGA NA RUTH MNKENI, DAR ES SALAAM
BOMOABOMOA ya nyumba na makazi zilizojengwa kinyume cha sheria iliendelea jana katika Wilaya ya Kinondoni, ambapo Kanisa la Anglikana pamoja na Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Mivumoni zimekumbwa na bomoabomoa hiyo.
Shughuli hiyo ya ubomoaji ilianza jana saa 12 asubuhi katika eneo la Mbezi Jogoo, ambapo nyumba 25, makanisa mawili, fremu mbili za biashara na sehemu ya kuoshea magari zilibomolewa.
Mbali na kanisa la Aglikana, kanisa jingine ni...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo06 Jan
Bomoabomoa yakumba nyumba 100
BOMOABOMOA katika Manispaa ya Kinondoni imeendelea jana kwa nyumba takribani 100 kubomolewa kwa watu waishio mabondeni huku waliotakiwa kuhama katika hifadhi za misitu ya mikoko kufanya hivyo ifikapo kesho.
9 years ago
Mwananchi20 Nov
Bomoabomoa yakumba Kanisa la Anglikana Dar
9 years ago
Bongo Movies05 Jan
Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi imezuia Bomoabomoa ya Nyumba za Wananchi Bonde la Mto Msimbazi
Mahakama kuu kitengo cha ardhi imezuia bomoabomoa ya Nyumba za wananchi bonde la mto Msimbazi hadi kesi ya msingi ikamilike Jan,11 mwaka huu.
Hukumu hiyo inafuatia shauri lililofunguliwa na Mbunge wa Kinondoni (CUF) Maulid Mtulia, kufungua kesi katika Mahakama kuu ya Ardhi kupinga ubomoaji wa nyumba uliokuwa ukiendelea bila kutoa njia mbadala za makazi ya wale wanaobomolewa.
Cloudsfm.com
10 years ago
Mtanzania30 Mar
Dar yaongoza kesi za misikiti, makanisa
Na Kulwa Karedia, Dar es Salaam
SERIKALI imesema kuna fukuto kubwa la kesi za misikiti na makanisa ambalo linaweza kusababisha uvunjivu wa amani kama hatua za haraka hazitachukuliwa na mamlaka zinazohusika hasa Mkoa wa Dar es Saalam.
Akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari mjini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili,Ufisili na Udhamini(RITA),Philip Saliboko alisema migogoro iliyopo sasa inatisha.
“Kuna fukuto kubwa kwenye kesi za...
9 years ago
Mwananchi18 Nov
Bomoabomoa kubwa yaja Dar
9 years ago
BBCSwahili06 Jan
Bomoabomoa yaendelea kutikisa Dar
9 years ago
Mwananchi31 Dec
Mabomu yarindima bomoabomoa Dar
9 years ago
Mtanzania07 Jan
Bomoabomoa kuendelea leo Dar
Na Grace Shitundu, Dar es Salaam
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limesema kazi ya ubomoaji nyumba zilizoko katika Bonde la Mto Msimbazi itaendelea leo katika maeneo ambayo hayako kwenye zuio lililotolewa na Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Bonaventure Baya, alisema zuio lililopo mahakamani linahusu nyumba 681 tu, hivyo wataendelea na kazi katika maeneo yote...
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Bomoabomoa yasitishwa Dar es Salaam
Mawakili wa upande wa serikali na walalamikaji wakiandaa nakala zao kabla ya madai hayo kusikilizwa.
Wakazi wa Kinondoni wakipongezana baada ya kupokea taarifa za kusitishwa kwa bomoabomoa kwenye makazi yao.
Askari wakidumisha usalama.
MAHAKAMA ya Ardhi jijini Dar imesimamisha zoezi la bomoabomoa iliyowakumba wakazi maeneo ya mabondeni wa Wilaya ya Kinondoni baada ya wakazi hao kufikisha ombi hilo mahakamani hapo mapema wiki iliyopita.
Ombi hilo lilitokana na malalamiko ya wakazi wengi...