Bomoabomoa kubwa yaja Dar
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi leo inaanza kubomoa nyumba zilizojengwa bila kufuata utaratibu kwenye maeneo ya wazi na hifadhi za barabara katika Manispaa ya Kinondoni kuanzia kesho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi28 Jul
SIMBA SPORT CLUB YAJA NA JIPYA TENA, SAFARI HII KUBWA KULIKO…
![Simba SC](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/Simba-SC.jpg)
Klabu ya Simba kwa kushirikiana na Jumia wamezindua huduma ya kununua jezi za Simba 2015 – 2016 kupitia duka la mtandao la Jumia www.jumia.co.tz . Dhumuni la huduma hii ni kuwapatia wapenzi wa klabu ya Simba njia bora ya kuweza kununua jezi popote walipo Tanzania.Kupitia mtandao imara...
9 years ago
Habarileo19 Nov
Bomoabomoa Dar yashika kasi
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakishirikiana na Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, jana iliendesha bomoabomoa ya nyumba zilizojengwa bila kufuata taratibu za ujenzi katika Manispaa hiyo.
9 years ago
Mwananchi31 Dec
Mabomu yarindima bomoabomoa Dar
9 years ago
Mtanzania07 Jan
Bomoabomoa kuendelea leo Dar
Na Grace Shitundu, Dar es Salaam
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limesema kazi ya ubomoaji nyumba zilizoko katika Bonde la Mto Msimbazi itaendelea leo katika maeneo ambayo hayako kwenye zuio lililotolewa na Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Bonaventure Baya, alisema zuio lililopo mahakamani linahusu nyumba 681 tu, hivyo wataendelea na kazi katika maeneo yote...
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Bomoabomoa yasitishwa Dar es Salaam
Mawakili wa upande wa serikali na walalamikaji wakiandaa nakala zao kabla ya madai hayo kusikilizwa.
Wakazi wa Kinondoni wakipongezana baada ya kupokea taarifa za kusitishwa kwa bomoabomoa kwenye makazi yao.
Askari wakidumisha usalama.
MAHAKAMA ya Ardhi jijini Dar imesimamisha zoezi la bomoabomoa iliyowakumba wakazi maeneo ya mabondeni wa Wilaya ya Kinondoni baada ya wakazi hao kufikisha ombi hilo mahakamani hapo mapema wiki iliyopita.
Ombi hilo lilitokana na malalamiko ya wakazi wengi...
11 years ago
Habarileo15 Feb
Bomoabomoa kabambe Dar es Salaam
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka ametangaza kuanza kwa bomoabomoa mpya kwa waliojenga katika maeneo ya wazi. Alisema hayo jana wakati anafungua semina ya wahariri wa vyombo vya habari kuhusu sera na sheria ya ardhi na changamoto za wizara yake.
9 years ago
BBCSwahili06 Jan
Bomoabomoa yaendelea kutikisa Dar
9 years ago
BBCSwahili21 Nov
Bomoabomoa yasababisha simanzi Dar es Salaam
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Korti yazuia bomoabomoa Dar es Salaam