Bomoabomoa Dar yashika kasi
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakishirikiana na Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, jana iliendesha bomoabomoa ya nyumba zilizojengwa bila kufuata taratibu za ujenzi katika Manispaa hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo07 Mar
Bomoabomoa kwa waliojenga holela Dar kushika kasi
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imebomoa nyumba 11 zilizojengwa kiholela bila kufuata utaratibu na sheria za ardhi katika maeneo ya Mbezi Beach, Boko, Tegeta na Ununio.
11 years ago
Michuzi07 Sep
MASHINDANO ya ngumi kupata mabondia 10 bora mkoa wa Dar es salaam yashika kasi
Bondia Hamad Mbonde wa Magereza kushoto akipiga ngumi bila matumaini yoyoyo na mwenzake Said Kassimu wa Amana akimpiga konde la kulia wakati wa mashindano ya kumi...
11 years ago
BBCSwahili13 Feb
Mapigano yashika kasi Syria
11 years ago
BBCSwahili03 Mar
Maandamano yashika kasi nchini Venezuela
11 years ago
Uhuru Newspaper16 Jun
Vita dhidi ya ujangili yashika kasi
NA WILLIAM SHECHAMBO
JITIHADA za serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya ujangili nchini, zimechukua sura mpya baada ya kukabidhiwa helkopta na Taasisi ya Howard Buffet Foundation ya Marekani, kwa ajili ya shughuli hiyo.
Helikopta hiyo ni moja kati ya ahadi alizowahi kuzitoa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kwa serikali, kama jitihada zinazofanywa na wizara yake kwa kushirikiana na wadau katika kuhifadhi wanyamapori na maliasili.
Makabidhiano ya helikopta hiyo yalifanyika...
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Michauno ya vijana Kriket yashika kasi
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
Kesi ya Suma JKT yashika kasi
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imesema Februari 5, mwaka huu itatoa uamuzi wa kuwaona Kanali wa Jeshi la Kujenga Taifa, Ayoub Mwakang’ata na wenzake wanaokabiliwa na makosa...
10 years ago
Vijimambo02 Jan
Vita ya urais yashika kasi mtandaoni

11 years ago
Habarileo15 Jan
Mauaji ya watuhumiwa yashika kasi Mbeya
UTAMADUNI mbovu wa kujichukulia sheria mikononi umezidi kushika kasi mkoani Mbeya baada ya watu wawili kuuawa juzi katika matukio mawili tofauti.