Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASHINDANO ya ngumi kupata mabondia 10 bora mkoa wa Dar es salaam yashika kasi

Mabondia Said Kasimu wa Amana kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Hamad Mbonde wa Magereza wakati wa mashindano ya kutafuta kumi bora ya kila uzito kwa mabondia jijini Dar es salaa yanayoandaliwa na chama cha ngumi za Ridhaa mkoa wa Dar, DABA Kassimu alishinda kwa point Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Hamad Mbonde wa Magereza kushoto akipiga ngumi bila matumaini yoyoyo na mwenzake Said Kassimu  wa Amana akimpiga konde la kulia wakati wa mashindano ya kumi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MASHINDANO YA NGUMI YA KUMI BORA YAENDELEA KUSHIKA KASI

Bondia Saleh Said wa Magereza 'kulia' akioneshana umwamba na Sudi Mohamed wa Mavituzi wakati wa mpambano wa kumi bora yanayoendelea kila jumamosi katika ukumbi wa Manyara Park Manzese Dar es salaam Said alishinda mpambano huo Bondia Iddi Juma wa Midizini akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Jumanne Mashombo wa Ndame wakati wa mpambano wa kumi bora uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Manyara Park Mahombo alishinda kwa pointBondia Julius Kisalawe kushoto...

 

5 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA KUOGELEA LA TALISS-IST YASHIKA KASI

Nyota wa kuogelea, Franco Du Plessis akionyesha uwezo wake katika mashindano ya kuogelea

…………………………………………

Klabu mbalimbali za mikoani zimewasili jijini Dar es Salaam tayari kupambana katika mashindano maarufu ya kuogelea ya Taliss-IST yaliyopangwa kufanyika Jumamosi na Jumapili kwenye bwawa la kuogelea la Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST-Masaki).

Waogeleaji kutoka Mwanza, Kilimanjaro, Arusha, Zanzibar na Morogoro wamekwisha wasili tayari kwa mashindano hayo yaliyodhaminiwa na Jubilee...

 

9 years ago

Habarileo

Bomoabomoa Dar yashika kasi

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakishirikiana na Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, jana iliendesha bomoabomoa ya nyumba zilizojengwa bila kufuata taratibu za ujenzi katika Manispaa hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

DRFA YATANGAZA TIMU ZILIZOINGIA 18 BORA LIGI YA MKOA WA DAR ES SALAAM

Chama cha soka mkoa wa Dar es salaam DRFA,kimetangaza timu 18 zilizofanikiwa kutingia katika hatua ya 18 bora (raundi ya pili) ya michuano ya ligi ya mkoa wa Dar es salaam. 
 Timu hizo ni kutoka katika kundi (A) ambazo ni Red Coast,Yanga U20,Changanyikeni na Ukonga UTD,kundi (B) Simba U20,Stakishari,Zakhem na Beira Hotspurs,kundi (C) FFU,Sifa UTD,Pan Africa na Sinza Stars,huku kundi (D) likitoa timu za Shababi,New Kunduchi,Ugimbi na Azania Ngano.
Timu mbili zilizopata nafasi ya kuongezwa...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, SAID SADIKI AIPONGEZA BOHARI YA DAWA (MSD) KWA KUTOA HUDUMA BORA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick, ameitaka  Bohari ya Dawa MSD kuendeleza kasi ya huduma zake za kupambana na ugonjwa wa malaria kwakuwa ni  moja ya taasisi  zilizo mstari wa mbele kupunguza vifo vitokanavyo na ugonjwa huo.Akizungumza jana katika banda la MSD ikiwa ni maadhimisho ya siku ya Malaria duniani Sadick alisema MSD imekuwa ikifanya jitihada kuhakikisha ugonjwa wa malaria unakoma na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo vinapungua.Alisema jitihada hizo za MSD zimechangia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani