Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bomoabomoa kwa waliojenga holela Dar kushika kasi

Wiliam LukuviWIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imebomoa nyumba 11 zilizojengwa kiholela bila kufuata utaratibu na sheria za ardhi katika maeneo ya Mbezi Beach, Boko, Tegeta na Ununio.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Bomoabomoa Dar yashika kasi

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakishirikiana na Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, jana iliendesha bomoabomoa ya nyumba zilizojengwa bila kufuata taratibu za ujenzi katika Manispaa hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM CHALINZE ZAZIDI KUSHIKA KASI

 Mbunge a Jimbo la Mchinga,Mh. Said Mtanda (kulia) akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mindukene,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 18,2014,wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete (wa pili kushoto walioketi).
 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete (kushoto) akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mindukene,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM JIMBO LA KALENGA ZAZIDI KUSHIKA KASI

Mgombea kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, Godfrey Mgimwa (wapili kushoto), Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu na Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara Mwigulu Nchemba, wakiserebuka na wananchi baada ya kuwasili katika Kijiji ya Kibebe Kata ya Ulanda kwa ajili ya mkutano wa kampeni, jana. Mgombea kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, Godfrey Mgimwa (kushoto) akiwasalimia wananchi kwa kuwapungia mkono,...

 

10 years ago

Vijimambo

MASHINDANO YA NGUMI YA KUMI BORA YAENDELEA KUSHIKA KASI

Bondia Saleh Said wa Magereza 'kulia' akioneshana umwamba na Sudi Mohamed wa Mavituzi wakati wa mpambano wa kumi bora yanayoendelea kila jumamosi katika ukumbi wa Manyara Park Manzese Dar es salaam Said alishinda mpambano huo Bondia Iddi Juma wa Midizini akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Jumanne Mashombo wa Ndame wakati wa mpambano wa kumi bora uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Manyara Park Mahombo alishinda kwa pointBondia Julius Kisalawe kushoto...

 

10 years ago

Michuzi

Zoezi la uandikishaji vijana kuingia NSSF Real Madrid Sports Academy lazidi kushika kasi

 Na Mwandishi Wetu 
  SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kushirikiana na klabu maarufu duniani ya mpira wa miguu ya Real Madrid ya Hispania, leo imeendelea na zoezi lake la usajili wa vijana walio na umri wa chini ya miaka 14 watakaofanyiwa majaribio kwa ajili ya kujiunga na kituo cha michezo cha NSSF-REAL MADRID SPORTS ACADEMY katika uwanja wa Karume mjini Dar es Salaam, huku idadi ya vijana wanaojisajili ikiongezeka. 
 Mchakato huo wa usajili ulianza Oktoba 14 lakini leo idadi...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA ZAZIDI KUSHIKA KASI,CCM YATAMBA KUNYAKUA JIMBO.

 Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga,Mkoani Iringa kupitia tiketi ya chama cha CCM,Godfrey Mgimwa akiwa amebebwa juu na wananchi/Wanakijiji wa kijiji cha Ilala Simba kilichopo Kata ya Nzihi,Iringa Vijijini mapema leo jioni,alipokwenda kuzungumza nao na kuomba ridhaa yao ya kuwaongoza kama Mbunge.  Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga,Mkoani Iringa kupitia tiketi ya chama cha CCM,Godfrey Mgimwa akizungumza na Wananchi/Wanakijiji wa kijiji cha Ilala Simba kilichopo Kata ya Nzihi,Iringa Vijijini...

 

9 years ago

MillardAyo

Maamuzi mawili kwa leo kutoka Mahakama Kuu Dar kuhusu ishu ya bomoabomoa.. (+Pichaz)

Maamuzi haya yalikuwa yakisubiriwa na wengi Dar es Salaam, na kwa sababu Mahakama Kuu  Kanda ya Dar es Salaam iliahidi kwamba maamuzi yanatoka leo, macho na masikio ya wengi yalielekea huko kwa siku nzima. Zoezi la bomoabomoa lilianza mwishoni mwa 2015, likasimamishwa kwa muda alafu taarifa ikatoka kwamba zoezi litaendelea leo Januari 5 2015, lakini […]

The post Maamuzi mawili kwa leo kutoka Mahakama Kuu Dar kuhusu ishu ya bomoabomoa.. (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Dar es Salaam: Linalotisha Afrika kwa kasi kiuchumi

Huenda wengi wasiamini kwa haraka, lakini taarifa za wataalamu wa uchumi, zinaonyesha Jiji la Dar es Salaam ndilo linaloongoza kwa fursa zaidi barani Afrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani