Maamuzi mawili kwa leo kutoka Mahakama Kuu Dar kuhusu ishu ya bomoabomoa.. (+Pichaz)
Maamuzi haya yalikuwa yakisubiriwa na wengi Dar es Salaam, na kwa sababu Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam iliahidi kwamba maamuzi yanatoka leo, macho na masikio ya wengi yalielekea huko kwa siku nzima. Zoezi la bomoabomoa lilianza mwishoni mwa 2015, likasimamishwa kwa muda alafu taarifa ikatoka kwamba zoezi litaendelea leo Januari 5 2015, lakini […]
The post Maamuzi mawili kwa leo kutoka Mahakama Kuu Dar kuhusu ishu ya bomoabomoa.. (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV05 Jan
 Mahakama kuu kitengo cha ardhi kutoa maamuzi Jan. 5 Pingamizi la Bomoabomoa
Mahakama Kuu Tanzania Kitengo cha Ardhi inatarajia kutoa hukumu ya kuiruhusu Serikali kuendesha shughuli ya bomoa bomoa kwenye makazi ya mabondeni au kuizuia kuendesha shughuli hiyo Januria 5, mwaka huu.
Kesi hiyo ya kupinga kubomolewa kwa wakazi hao bila kupatiwa makazi mengine salama imefunguliwa kwa hati ya dharura na Mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulya chini ya Wakili wake, Abubakar Salim huku Serikali ikiendelea na operesheni ya kuweka alama za X kwenye nyumba zaidi ya 3000.
Katika...
9 years ago
Global Publishers06 Jan
9 years ago
Mwananchi04 Jan
Bomoabomoa yatua mahakama kuu
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Kilichonifikia kuhusu tukio la kuzuka moto Wizara ya Mambo ya ndani Dar leo.. (Pichaz)
Huenda umekutana na stori mitandaoni au picha kuhusu tukio la ajali ya moto katika jengo la Wizara ya Mambo ya ndani, posta Dar es Salaam. Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SSP Advera Senzo Bulimba amesema ni kweli kulitokea cheche za moto katika jengo hilo katika ghorofa ya nne, taarifa zikatolewa kwa vikosi vya zimamoto […]
The post Kilichonifikia kuhusu tukio la kuzuka moto Wizara ya Mambo ya ndani Dar leo.. (Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
StarTV26 Nov
Mahakama kuu Mwanza yatarajiwa kutoa hukumu Leo kuhusu Mwili Wa Mawazo
Mahakama kuu kanda ya Mwanza leo inatarajia kutoa hukumu ya kesi namba 11 ya mwaka 2015 ambayo ni kesi ya polisi dhidi ya Charles Lugwiko baba mdogo wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema mkoa wa Geita Alphonce Mawazo.
Kesi hiyo ilifunguliwa mahakamani hapo kuiomba mahakama iwapatie haki zote za maziko ndugu wa marehemu waishio Mwanza kutokana na jeshi la polisi kuzuia msiba huo kufanyikia Mwanza kutokana na uwepo wa Ugonjwa wa kipindupindu.
Mapema jana majira...
11 years ago
GPLTASWIRA KUTOKA NJE YA MAHAKAMA KUU DAR KABLA YA HUKUMU YA ZITTO
9 years ago
Michuzi9 years ago
Bongo Movies05 Jan
Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi imezuia Bomoabomoa ya Nyumba za Wananchi Bonde la Mto Msimbazi
Mahakama kuu kitengo cha ardhi imezuia bomoabomoa ya Nyumba za wananchi bonde la mto Msimbazi hadi kesi ya msingi ikamilike Jan,11 mwaka huu.
Hukumu hiyo inafuatia shauri lililofunguliwa na Mbunge wa Kinondoni (CUF) Maulid Mtulia, kufungua kesi katika Mahakama kuu ya Ardhi kupinga ubomoaji wa nyumba uliokuwa ukiendelea bila kutoa njia mbadala za makazi ya wale wanaobomolewa.
Cloudsfm.com
11 years ago
Mwananchi13 Feb
Kesi ya Zitto dhidi ya Chadema kutajwa leo Mahakama Kuu Dar