Mahakama kuu kitengo cha ardhi kutoa maamuzi Jan. 5 Pingamizi la Bomoabomoa
Mahakama Kuu Tanzania Kitengo cha Ardhi inatarajia kutoa hukumu ya kuiruhusu Serikali kuendesha shughuli ya bomoa bomoa kwenye makazi ya mabondeni au kuizuia kuendesha shughuli hiyo Januria 5, mwaka huu.
Kesi hiyo ya kupinga kubomolewa kwa wakazi hao bila kupatiwa makazi mengine salama imefunguliwa kwa hati ya dharura na Mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulya chini ya Wakili wake, Abubakar Salim huku Serikali ikiendelea na operesheni ya kuweka alama za X kwenye nyumba zaidi ya 3000.
Katika...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/RM1xNvXZePg/default.jpg)
9 years ago
Bongo Movies05 Jan
Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi imezuia Bomoabomoa ya Nyumba za Wananchi Bonde la Mto Msimbazi
Mahakama kuu kitengo cha ardhi imezuia bomoabomoa ya Nyumba za wananchi bonde la mto Msimbazi hadi kesi ya msingi ikamilike Jan,11 mwaka huu.
Hukumu hiyo inafuatia shauri lililofunguliwa na Mbunge wa Kinondoni (CUF) Maulid Mtulia, kufungua kesi katika Mahakama kuu ya Ardhi kupinga ubomoaji wa nyumba uliokuwa ukiendelea bila kutoa njia mbadala za makazi ya wale wanaobomolewa.
Cloudsfm.com
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Maamuzi mawili kwa leo kutoka Mahakama Kuu Dar kuhusu ishu ya bomoabomoa.. (+Pichaz)
Maamuzi haya yalikuwa yakisubiriwa na wengi Dar es Salaam, na kwa sababu Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam iliahidi kwamba maamuzi yanatoka leo, macho na masikio ya wengi yalielekea huko kwa siku nzima. Zoezi la bomoabomoa lilianza mwishoni mwa 2015, likasimamishwa kwa muda alafu taarifa ikatoka kwamba zoezi litaendelea leo Januari 5 2015, lakini […]
The post Maamuzi mawili kwa leo kutoka Mahakama Kuu Dar kuhusu ishu ya bomoabomoa.. (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Mahakama Kuu kuanzisha kitengo cha utatuzi
9 years ago
Mwananchi04 Jan
Bomoabomoa yatua mahakama kuu
11 years ago
GPL06 Jan
KUTOKA MAHAKAMA KUU BAADA YA HUKUMU YA PINGAMIZI LA ZITTO KUAIRISHWA
11 years ago
GPLTASWIRA KUTOKA MAHAKAMA KUU WAKATI WA KUSIKILIZWA PINGAMIZI LA ZITTO KABWE
10 years ago
Michuzi15 Sep
NEWS ALERT: MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI MAOMBI YA PINGAMIZI LA KUSIMAMISHA BUNGE LA KATIBA
MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam leo imetupilia mbali maombi ya pingamizi la awali la kusimamisha Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma, iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Said Kubenea, kwa kuwa wametumia kifungu cha sheria kisicho sahihi.
Kadhalika, mahakama hiyo imetupilia mbali pingamizi hilo la awali, kwa kuwa mlalamikaji ametumia kifungu cha sheria namba 2 kidogo cha (2) (JALA) ambacho hakina mamlaka ya kufungua maombi hayo...
10 years ago
Tanzania Daima04 Dec
Mahakama kuanzisha kitengo cha habari
JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, amesema kuna haja ya kuanzisha kitengo cha habari ili kuwasaidia waandishi kupata taarifa sahihi. Alibainisha hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati wa...