Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAHAKAMA KUU KITENGO CHA ARDHI YAWEKA ZUIO LA MUDA LA BOMOABOMOA KINONDONI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

 Mahakama kuu kitengo cha ardhi kutoa maamuzi Jan. 5 Pingamizi la Bomoabomoa

 

Mahakama Kuu Tanzania Kitengo cha Ardhi inatarajia kutoa hukumu ya kuiruhusu Serikali kuendesha shughuli ya bomoa bomoa kwenye makazi ya mabondeni au kuizuia kuendesha shughuli hiyo Januria 5, mwaka huu.

Kesi hiyo ya kupinga kubomolewa kwa wakazi hao bila kupatiwa makazi mengine salama imefunguliwa kwa hati ya dharura na Mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulya chini ya Wakili wake, Abubakar Salim huku  Serikali ikiendelea na operesheni ya kuweka alama za X kwenye nyumba zaidi ya 3000.

Katika...

 

9 years ago

Bongo Movies

Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi imezuia Bomoabomoa ya Nyumba za Wananchi Bonde la Mto Msimbazi

Mahakama kuu kitengo cha ardhi imezuia bomoabomoa ya Nyumba za wananchi bonde la mto Msimbazi hadi kesi ya msingi ikamilike Jan,11 mwaka huu.

vunja

Hukumu hiyo inafuatia shauri lililofunguliwa na Mbunge wa Kinondoni (CUF) Maulid Mtulia, kufungua kesi katika Mahakama kuu ya Ardhi kupinga ubomoaji wa nyumba uliokuwa ukiendelea bila kutoa njia mbadala za makazi ya wale wanaobomolewa.

Cloudsfm.com

 

10 years ago

Mwananchi

Mahakama Kuu kuanzisha kitengo cha utatuzi

Idala ya Mahakama inatarajia kuanzisha Kitengo cha Mahakama Kuu Dar es Salaam kitakachoshughulikia masuala ya utatuzi wa mashauri ya kesi za madai kwa njia ya suluhu ili kupunguza mlundikano wa kesi na kuchelewa kumalizika.

 

9 years ago

Mwananchi

Bomoabomoa yatua mahakama kuu

Sakata la bomoabomoa kwa wakazi wa mabondeni limechukua sura mpya baada ya mbunge wa Kinondoni (CUF), Maulid Mtulia kufungua kesi katika Mahakama ya Ardhi kupinga ubomoaji wa nyumba bila kutoa njia mbadala za makazi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mahakama kuanzisha kitengo cha habari

JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, amesema kuna haja ya kuanzisha kitengo cha habari ili kuwasaidia waandishi kupata taarifa sahihi. Alibainisha hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati wa...

 

9 years ago

MillardAyo

Maamuzi mawili kwa leo kutoka Mahakama Kuu Dar kuhusu ishu ya bomoabomoa.. (+Pichaz)

Maamuzi haya yalikuwa yakisubiriwa na wengi Dar es Salaam, na kwa sababu Mahakama Kuu  Kanda ya Dar es Salaam iliahidi kwamba maamuzi yanatoka leo, macho na masikio ya wengi yalielekea huko kwa siku nzima. Zoezi la bomoabomoa lilianza mwishoni mwa 2015, likasimamishwa kwa muda alafu taarifa ikatoka kwamba zoezi litaendelea leo Januari 5 2015, lakini […]

The post Maamuzi mawili kwa leo kutoka Mahakama Kuu Dar kuhusu ishu ya bomoabomoa.. (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Vijimambo

ZANZIBAR | CHINA YAISAIDIA WIZARA YA AFYA VIFAA KWA AJILI YA KITENGO CHA MATIBABU YA MACHO KATIKA HOSPITALI KUU YA MNAZIMMOJA

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Saleh Mohamed Jidawi akitoa maelezo wakati wa Hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya uchunguzi na upasuaji wa macho kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China. Wa kwanza (kushoto) ni Waziri wa Afya Rashid Seif Suleiman na (wakatikati) ni Balozi mdogo wa China aliepo Zanzibar Xie Yuanliang. Balozi Mdogo wa China Xie Yuanliang akimkabidhi Waziri wa Afya Rashid Seif Suleima msaada wa vifaa vya matibabu ya macho uliotolewa na Serikali ya nchi yake. Hafla hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

CHINA YAIPIGA JEKI WIZARA YA AFYA ZANZIBAR,YAIPATIA VIFAA KWA AJILI YA KITENGO CHA MATIBABU YA MACHO KATIKA HOSPITALI KUU YA MNAZIMMOJA

Balozi Mdogo wa China aliopo Zanzibar,Mh. Xie Yuanliang (kulia) akimkabidhi Waziri wa Afya Zanzibar,Mh. Rashid Seif Suleima msaada wa vifaa vya matibabu ya macho uliotolewa na Serikali ya nchi yake. Hafla hiyo ilifanyika Makao Mkuu ya wizara ya Afya Mnazimmoja mjini Zanzibar.Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar,Dkt. Saleh Mohamed Jidawi akitoa maelezo wakati wa Hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya uchunguzi na upasuaji wa macho kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China. Wa kwanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani