Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi imezuia Bomoabomoa ya Nyumba za Wananchi Bonde la Mto Msimbazi
Mahakama kuu kitengo cha ardhi imezuia bomoabomoa ya Nyumba za wananchi bonde la mto Msimbazi hadi kesi ya msingi ikamilike Jan,11 mwaka huu.
Hukumu hiyo inafuatia shauri lililofunguliwa na Mbunge wa Kinondoni (CUF) Maulid Mtulia, kufungua kesi katika Mahakama kuu ya Ardhi kupinga ubomoaji wa nyumba uliokuwa ukiendelea bila kutoa njia mbadala za makazi ya wale wanaobomolewa.
Cloudsfm.com
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV05 Jan
 Mahakama kuu kitengo cha ardhi kutoa maamuzi Jan. 5 Pingamizi la Bomoabomoa
Mahakama Kuu Tanzania Kitengo cha Ardhi inatarajia kutoa hukumu ya kuiruhusu Serikali kuendesha shughuli ya bomoa bomoa kwenye makazi ya mabondeni au kuizuia kuendesha shughuli hiyo Januria 5, mwaka huu.
Kesi hiyo ya kupinga kubomolewa kwa wakazi hao bila kupatiwa makazi mengine salama imefunguliwa kwa hati ya dharura na Mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulya chini ya Wakili wake, Abubakar Salim huku Serikali ikiendelea na operesheni ya kuweka alama za X kwenye nyumba zaidi ya 3000.
Katika...
9 years ago
Michuzi
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Hii ni mipango ya Serikali bonde la mto Msimbazi baada ya Bomoabomoa kukamilika…
Wakati zoezi la Bomoabomoa likiendelea katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam tayari Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC limetoa mikakati ya kuendeleza bonde la mto Msimbazi. Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Bonaventure Baya amezungumzia mipango yao kuwa wana mpango wa muda mfupi kati ya Januari 2016 hadi Juni 2016. Baada ya Ubomoaji Serikali […]
The post Hii ni mipango ya Serikali bonde la mto Msimbazi baada ya Bomoabomoa kukamilika… appeared first on...
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Wizara ya ardhi ina haya kuhusu Bomoabomoa inayoendelea Bonde la Msimbazi
Bomoabomoa bonde la Msimbazi imeanza tayari na baadhi ya nyumba tayari zimeshabomolewa katika eneo la Hananasifu, Kinondoni Charles Mkalawa ambaye ni Afisa mipango miji Wizara ya Ardhi alikuwa eneo la tukio na kuzungumza na millardayo.com kuhusu bomoabomoa inayoendelea katika baadhi ya meneo Wananchi hawkauwa na taarifa na bomoabomoa..“Serikali inabidi itambue hii hadithi ya kuwatafutia watu […]
The post Wizara ya ardhi ina haya kuhusu Bomoabomoa inayoendelea Bonde la Msimbazi appeared first...
9 years ago
Michuzi
BOMOA BOMOA YAWAFIKIA WANANCHI WANAOISHI PEMBEZONI MWA BONDE LA MTO MSIMBAZI JIJINI DAR ES SALAAM.

9 years ago
Michuzi
bomoabomoa ya hiyari yaendelea bonde la msimbazi jijini Dar es salaam


11 years ago
Mwananchi23 Oct
Mahakama Kuu kuanzisha kitengo cha utatuzi
10 years ago
Michuzi
HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYO KATIKA MAENEO YALIYO KANDO NA BONDE LA MTO MSIMBAZI,VINGUNGUTI JIJINI DAR

BOFYA HAPA KUTEMBELEA LIBENEKE LA MTAA KWA MTAA KUONA PICHA ZAIDI
9 years ago
Mwananchi04 Jan
Bomoabomoa yatua mahakama kuu