Mahakama kuu Mwanza yatarajiwa kutoa hukumu Leo kuhusu Mwili Wa Mawazo
Mahakama kuu kanda ya Mwanza leo inatarajia kutoa hukumu ya kesi namba 11 ya mwaka 2015 ambayo ni kesi ya polisi dhidi ya Charles Lugwiko baba mdogo wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema mkoa wa Geita Alphonce Mawazo.
Kesi hiyo ilifunguliwa mahakamani hapo kuiomba mahakama iwapatie haki zote za maziko ndugu wa marehemu waishio Mwanza kutokana na jeshi la polisi kuzuia msiba huo kufanyikia Mwanza kutokana na uwepo wa Ugonjwa wa kipindupindu.
Mapema jana majira...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
Kilichojiri Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza kuhusu mwili Mawazo wa Chadema!
Jana Novemba 26,2015 Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza ilitengua zuio la Jeshi la Polisi Mkoani hapa la kuzuia ibada ya mazishi ya kuuaga mwili wa aliekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoani Geita Alphonce Mawazo alieuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana Novemba 14 mwaka huu Mkoani humo.
BONYEZA PLAY KUSIKILIZA BINAGI RADIO-HABARI JUU YA HABARI HIYO.
9 years ago
MichuziKILICHOJIRI MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA KUHUSU HATMA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MAWAZO
BONYEZA PLAY KUSIKILIZA
9 years ago
StarTV25 Nov
Mahakama kuu Mwanza yaahirisha kesi Kuaga Mwili Wa Alphonce Mawazo
Mahakama kuu Kanda ya Mwanza imeahirisha kesi iliyofunguliwa na familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoa wa Geita Marehemu Alphonce Mawazo kupinga amri ya Polisi kuzuia mwili wake usiagwe jijini Mwanza.
Kesi hiyo namba 11 ya mwaka 2015 ambayo imefunguliwa mchana wa leo ikisimamiwa na wakili James Milya na John Malya kutoka Chadema na itatajwa tena Novemba 25 mwaka huu
Mapema asubuhi mahakama kuu kanda ya Mwanza imeruhusu maombi ya baba mdogo wa...
9 years ago
Mwananchi24 Nov
Sakata la Mawazo latinga Mahakama Kuu Mwanza
9 years ago
MichuziHATIMA YA MWILI WA MAREHEMU MAWAZO KUAGWA JIJINI MWANZA KUAMULIWA KESHO NA MAHAKAMA
Na George Binagi - GB Pazzo wa Binagi Media Group
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema leo kimefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, ili kuiomba Mahakama hiyo kutengua zuio la kuuaga mwili wa aliekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Geita Marehemu Alphonce Mawazo, lililotolewa na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7YJi9SYEVEo/XruP-GkuOWI/AAAAAAALp_c/PXrvGCqJk10fgczJYvAnCUGbX73NwxbzwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200511-WA0022-768x576.jpg)
MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KANDA YA SONGEA YAANZA KUSIKILIZA MASHAURI NA KUTOA HUKUMU KWA 'VIDEO CONFERENCE'.
![](https://1.bp.blogspot.com/-7YJi9SYEVEo/XruP-GkuOWI/AAAAAAALp_c/PXrvGCqJk10fgczJYvAnCUGbX73NwxbzwCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200511-WA0022-768x576.jpg)
Na Brian Haule –Mahakama Kuu Songea
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Songea imeanza kusikiliza mashauri na kutoa hukumu kwa Mahakama Mtandao yaani ‘Video Conference’.
Mahakama hiyo imeanza kusikiliza mashauri kwa njia hiyo, baada ya jitihada za Mahakama ya Tanzania kununua vifaa maalumu vya kuendesha mahakama kwa mtandao kwa ajili ya mahakama mbalimbali nchini, ikiwa ni hatua za kuepuka kuenea kwa maambukizi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa (COVID 19) sambamba na...
9 years ago
Dewji Blog26 Nov
Hatima ya mwili wa Mawazo kuagwa ama kutoagwa Jijini Mwanza kujulikana leo
Na:George Binagi-GB Pazzo wa Binagi Media Group
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza leo imeahirisha kesi ya madai ya kuomba ridhaa ya kufanya ibada ya Mazishi ya aliekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mkoani Geita Marehemu Alphonce Mawazo iliyowasilishwa na Mchungaji Charles Lugiko ambae ni baba mlezi wa marehemu Mawazo
Katika kesi hiyo, mlalamikaji anaiomba mahakama kuondoa zuio la jeshi la polisi Mkoani Mwanza la kutoruhusu shughuli ya kuuaga mwili wa marehemu Mawazo...
9 years ago
StarTV28 Nov
 Kifo Cha Alphonce Mawazo Mwili wake kuagwa leo Furahisha Mwanza
Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoani Geita Alphonce Mawazo unatarajiwa kuagwa leo katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza na baadae kusafirishwa kupelekwa mkoani Geita kwa maandalizi ya mazishi.
Mwili huo ulitakiwa kuagwa jumamosi iliyopita zoezi ambalo lilikwama baada ya zuio la jeshi la polisi mkoani Mwanza kabla ya mahakama kuu kutengua pingamizi hilo mapema jana.
Viongozi wa CHADEMA wamekutana na wanahabari jijini Mwanza kuwaeleza...
9 years ago
Dewji Blog04 Jan
Breaking News!!Hatma ya bomoa bomoa mabondeni Mahakama Kuu kutoa hukumu kesho Januari 5
Mbunge wa Kinonodon, Maulid Mtulya (katikati) akiwa sambamba na baadhi ya Wanasheria wanaosimamia kesi ya kupinga kubomolewa kwa wakazi wa Mabondeni wa jimbo hilo la Kinondoni muda mfupi baada ya kutoka kusikilizwa kwa kesi yao ya msingi ya kupinga kubomolewa. Kesi hiyo ilifunguliwa na Mbunge huyo kwa kwa lengo la kutetea wananchi hao ili haki ipatikane na hatma ya wapi watapelekwa. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog.
Na Andrew Chale
{Dar es Salaam] Umati wa wananchi wa Mabondeni...