MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KANDA YA SONGEA YAANZA KUSIKILIZA MASHAURI NA KUTOA HUKUMU KWA 'VIDEO CONFERENCE'.
![](https://1.bp.blogspot.com/-7YJi9SYEVEo/XruP-GkuOWI/AAAAAAALp_c/PXrvGCqJk10fgczJYvAnCUGbX73NwxbzwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200511-WA0022-768x576.jpg)
Na Brian Haule –Mahakama Kuu Songea
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Songea imeanza kusikiliza mashauri na kutoa hukumu kwa Mahakama Mtandao yaani ‘Video Conference’.
Mahakama hiyo imeanza kusikiliza mashauri kwa njia hiyo, baada ya jitihada za Mahakama ya Tanzania kununua vifaa maalumu vya kuendesha mahakama kwa mtandao kwa ajili ya mahakama mbalimbali nchini, ikiwa ni hatua za kuepuka kuenea kwa maambukizi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa (COVID 19) sambamba na...
Michuzi