Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vita dhidi ya ujangili yashika kasi


NA WILLIAM SHECHAMBO
JITIHADA za serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya ujangili nchini, zimechukua sura mpya baada ya kukabidhiwa helkopta na Taasisi ya Howard Buffet Foundation ya Marekani, kwa ajili ya shughuli hiyo.
Helikopta hiyo ni moja kati ya ahadi alizowahi kuzitoa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kwa serikali, kama jitihada zinazofanywa na wizara yake kwa kushirikiana na wadau katika kuhifadhi wanyamapori na maliasili.
Makabidhiano ya helikopta hiyo yalifanyika...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Vita ya urais yashika kasi mtandaoni

Dar es Salaam. Wakati safari ya kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu ikipamba moto, kumeibuka makundi ya watu yaliyofungia akaunti katika mitandao ya kijamii yakiwaunga mkono baadhi ya wanasiasa waliotangaza au wanaotajwa kuwa na nia ya kugombea urais ya kuwashambulia washindani wao.Kila kundi limejipatia wafuasi wengi ambao wanaonyesha kumkubali mwanasiasa husika wanayedhani anafaa kuwa rais wa Tanzania endapo atapitishwa na chama chake na kupigiwa kura na wananchi.Hata hivyo,...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI YA KUELIMISHA JAMII DHIDI YA MAKOSA MTANDAO YASHIKA KASI

Kufuatia mpango kabambe wa kuelimisha jamii dhidi ya makosa mtandao tayari kumekua na video za katuni, Mchezo wa komputa “Computer gane”, majarida ya katuni pamoja na machapisho mengine yote yakiwa na lengo la kutoa elimu kwa jamii juu ya jinsi ya kujilinda dhidi ya makosa mtandao kuanzia ngazi ya mtu binafsi hadi kufikia ngazi ya kitaifa. Picha: Mfano wa Vijarida vinavyo toa elimu dhidi ya usalama mtandao. Aidha, Bwana. Yusuph Kileo ametoa wito kwa vyombo vya habari nchini kuangalia kwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kikwete:Vita dhidi ya ujangili

Rais Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano wa kimataifa kuhusu wanyamaporti mjini London

 

10 years ago

Mwananchi

Teknolojia mpya kusaidia vita dhidi ya ujangili

Rais Jakaya Kikwete amewahimiza wananchi waishio ughaibuni kuleta teknolojia mpya nchini kwa kushirikisha kampuni kubwa kwa lengo la kuinua uchumi na kuongeza ajira.

 

10 years ago

GPL

MAREKANI, CHINA KUSAIDIA VITA DHIDI YA UJANGILI

Mkurugenzi wa African Wildlife Foundation, Dr. Patrick Bergin, akizungumza katika mkutano huo. Mkurugenzi Mtendaji wa Wildaid akizungumza. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu,…

 

11 years ago

Mwananchi

Bilionea Mmarekani akoleza vita dhidi ya ujangili

Familia ya bilionea namba mbili nchini Marekani, Warren Buffett imeunga mkono juhudi za kupambana na ujangili nchini kwa kuchangia helikopta moja.

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Hakimu huyu anakwamisha vita dhidi ya ujangili

>Jana na leo tumechapisha habari zinazothibitisha kwamba vita dhidi ya vitendo vya ujangili hapa nchini havitafanikiwa iwapo vita hiyo haitachukuliwa kama suala mtambuka.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwandishi Uingereza aja kuona vita dhidi ya ujangili

Serikali imeanza juhudi za kujinasua kwenye lawama kwamba haifanyi juhudi za kutosha kupambana na ujangili kwa kuwaalika waandishi wa habari wa kimataifa ili kujionea kazi inayofanyika.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATAKA VITA DHIDI YA UJANGILI IWE YA PAMOJA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema inahitajika dhamira ya kweli kutoka kwa wadau wote katika kutekeleza Azimio la Arusha la kukabiliana na ujangili na kuendeleza hifadhi za wanyama katika nchi za Afrika Mashariki na zilizo Kusini mwa Ikweta.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jioni (Jumamosi, Novemba 8, 2014) mara baada ya kufunga mkutano wa kikanda wa siku mbili uliojadili mbinu za kupambana na biashara haramu ya wanyamapori ulioandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii jijini Arusha,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani