Mwandishi Uingereza aja kuona vita dhidi ya ujangili
Serikali imeanza juhudi za kujinasua kwenye lawama kwamba haifanyi juhudi za kutosha kupambana na ujangili kwa kuwaalika waandishi wa habari wa kimataifa ili kujionea kazi inayofanyika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili14 Feb
Kikwete:Vita dhidi ya ujangili
Rais Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano wa kimataifa kuhusu wanyamaporti mjini London
11 years ago
Uhuru Newspaper16 Jun
Vita dhidi ya ujangili yashika kasi
NA WILLIAM SHECHAMBO
JITIHADA za serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya ujangili nchini, zimechukua sura mpya baada ya kukabidhiwa helkopta na Taasisi ya Howard Buffet Foundation ya Marekani, kwa ajili ya shughuli hiyo.
Helikopta hiyo ni moja kati ya ahadi alizowahi kuzitoa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kwa serikali, kama jitihada zinazofanywa na wizara yake kwa kushirikiana na wadau katika kuhifadhi wanyamapori na maliasili.
Makabidhiano ya helikopta hiyo yalifanyika...
10 years ago
GPLMAREKANI, CHINA KUSAIDIA VITA DHIDI YA UJANGILI
Mkurugenzi wa African Wildlife Foundation, Dr. Patrick Bergin, akizungumza katika mkutano huo. Mkurugenzi Mtendaji wa Wildaid akizungumza. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu,…
11 years ago
Mwananchi14 Mar
Bilionea Mmarekani akoleza vita dhidi ya ujangili
Familia ya bilionea namba mbili nchini Marekani, Warren Buffett imeunga mkono juhudi za kupambana na ujangili nchini kwa kuchangia helikopta moja.
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Teknolojia mpya kusaidia vita dhidi ya ujangili
Rais Jakaya Kikwete amewahimiza wananchi waishio ughaibuni kuleta teknolojia mpya nchini kwa kushirikisha kampuni kubwa kwa lengo la kuinua uchumi na kuongeza ajira.
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jul
Uingereza kuisaidia Tanzania mapambano dhidi ya ujangili
NA MWANDISHI WETU
SERIKALI ya Uingereza imeahidi kushirikiana na Tanzania kuhifadhi tani 120 za pembe za ndovu zinazotunzwa nchini.
Aidha, imeahidi kusaidia harakati za Tanzania katika mapambano dhidi ya uwindaji na mapambano dhidi ya majangili.
Waziri wa Uingereza anayehusika na bara la Afrika, Mark Simmonds, alisema hatua hiyo inatokana na juhudi za nchi kukomesha uwindaji haramu.
Simmonds aliyekuwa akizungumza kwenye mkutano wa pamoja na waandishi wa habari uliohudhuriwa pia na Waziri wa...
11 years ago
Mwananchi26 Mar
MAONI: Hakimu huyu anakwamisha vita dhidi ya ujangili
>Jana na leo tumechapisha habari zinazothibitisha kwamba vita dhidi ya vitendo vya ujangili hapa nchini havitafanikiwa iwapo vita hiyo haitachukuliwa kama suala mtambuka.
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU ATAKA VITA DHIDI YA UJANGILI IWE YA PAMOJA
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema inahitajika dhamira ya kweli kutoka kwa wadau wote katika kutekeleza Azimio la Arusha la kukabiliana na ujangili na kuendeleza hifadhi za wanyama katika nchi za Afrika Mashariki na zilizo Kusini mwa Ikweta.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jioni (Jumamosi, Novemba 8, 2014) mara baada ya kufunga mkutano wa kikanda wa siku mbili uliojadili mbinu za kupambana na biashara haramu ya wanyamapori ulioandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii jijini Arusha,...
Akizungumza na waandishi wa habari jana jioni (Jumamosi, Novemba 8, 2014) mara baada ya kufunga mkutano wa kikanda wa siku mbili uliojadili mbinu za kupambana na biashara haramu ya wanyamapori ulioandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii jijini Arusha,...
10 years ago
BBCSwahili27 Sep
Uingereza yajiunga na vita dhidi ya IS
Uingereza itajiunga na kampeni ya mashambulizi nchini Iraq baada ya wabunge wengi wa taifa hilo kuunga mkono hatua hiyo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania