WAZIRI MKUU ATAKA VITA DHIDI YA UJANGILI IWE YA PAMOJA
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema inahitajika dhamira ya kweli kutoka kwa wadau wote katika kutekeleza Azimio la Arusha la kukabiliana na ujangili na kuendeleza hifadhi za wanyama katika nchi za Afrika Mashariki na zilizo Kusini mwa Ikweta.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jioni (Jumamosi, Novemba 8, 2014) mara baada ya kufunga mkutano wa kikanda wa siku mbili uliojadili mbinu za kupambana na biashara haramu ya wanyamapori ulioandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii jijini Arusha,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi09 Nov
‘Ujangili ni vita ya pamoja’
11 years ago
BBCSwahili14 Feb
Kikwete:Vita dhidi ya ujangili
11 years ago
Habarileo05 Apr
Nyalandu ataka motisha vita ya ujangili
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amelitaka Baraza kuu la Wafanyakazi la Wizara, kuandaa utaratibu wa kutoa motisha kwa kila mfanyakazi kwa ajili ya kufanikisha utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Mkubwa Sasa (BRN), katika kupambana na vita dhidi ya ujangili na kuongeza mapato yatokanayo na utalii.
11 years ago
Uhuru Newspaper16 Jun
Vita dhidi ya ujangili yashika kasi
NA WILLIAM SHECHAMBO
JITIHADA za serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya ujangili nchini, zimechukua sura mpya baada ya kukabidhiwa helkopta na Taasisi ya Howard Buffet Foundation ya Marekani, kwa ajili ya shughuli hiyo.
Helikopta hiyo ni moja kati ya ahadi alizowahi kuzitoa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kwa serikali, kama jitihada zinazofanywa na wizara yake kwa kushirikiana na wadau katika kuhifadhi wanyamapori na maliasili.
Makabidhiano ya helikopta hiyo yalifanyika...
11 years ago
Mwananchi14 Mar
Bilionea Mmarekani akoleza vita dhidi ya ujangili
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Teknolojia mpya kusaidia vita dhidi ya ujangili
10 years ago
GPLMAREKANI, CHINA KUSAIDIA VITA DHIDI YA UJANGILI
11 years ago
Mwananchi11 Mar
Mwandishi Uingereza aja kuona vita dhidi ya ujangili
11 years ago
Mwananchi26 Mar
MAONI: Hakimu huyu anakwamisha vita dhidi ya ujangili