Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Korti yazuia bomoabomoa Dar es Salaam

Wakati NEMC ikianza tena ubomoaji wa nyumba zilizoko kwenye maeneo ya mabondeni, Mahakama Kuu imeifunga mikono Serikali kwa muda kuendelea na operesheni hiyo kwa wakazi 674 waliofungua kesi kupinga bomoabomoa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Korti yazuia ubomoaji nyumba Vijibwen

MAHAKAMA Kuu ya Ardhi Kanda ya Dar es Salaam imetoa uamuzi wa awali wa kuzuia ubomoaji wa nyumba za wakazi eneo la Vijibweni, Kigamboni. Uamuzi huo ulitolewa jana na Jaji...

 

9 years ago

Global Publishers

Bomoabomoa yasitishwa Dar es Salaam

1Mawakili wa upande wa serikali na walalamikaji wakiandaa nakala zao kabla ya madai hayo kusikilizwa.2Wakazi wa Kinondoni wakipongezana baada ya kupokea taarifa za kusitishwa kwa bomoabomoa kwenye makazi yao.

3 Askari wakidumisha usalama.

MAHAKAMA ya Ardhi jijini Dar imesimamisha zoezi la bomoabomoa iliyowakumba wakazi maeneo ya mabondeni wa Wilaya ya Kinondoni baada ya wakazi hao kufikisha ombi hilo mahakamani hapo mapema wiki iliyopita.

Ombi hilo lilitokana na malalamiko ya wakazi wengi...

 

11 years ago

Habarileo

Bomoabomoa kabambe Dar es Salaam

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka ametangaza kuanza kwa bomoabomoa mpya kwa waliojenga katika maeneo ya wazi. Alisema hayo jana wakati anafungua semina ya wahariri wa vyombo vya habari kuhusu sera na sheria ya ardhi na changamoto za wizara yake.

 

9 years ago

BBCSwahili

Bomoabomoa yasababisha simanzi Dar es Salaam

Serikali Tanzania imeanza kubomoa nyumba zote zilizojengwa kinyume na sheria katika maeneo ya wazi na maeneo ya hifadhiya barabara.

 

9 years ago

MillardAyo

Video ya bomoabomoa Kinondoni Dar es salaam Dec 17.

Dec 17 2015 kazi ya kuwahamisha wananchi wote waishiyo katika maeneo hatarishi iliendelea kwa kuzibomoa nyumba zote zilizopo mabondeni katika baadhi ya maeneo Dar es salaam ikiwa ni pamoja na bonde la Msimbazi lililopo Kinondoni, tazama hii video ya tukio zima la ubomoaji. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa […]

The post Video ya bomoabomoa Kinondoni Dar es salaam Dec 17. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Michuzi

bomoabomoa ya hiyari yaendelea bonde la msimbazi jijini Dar es salaam

 Baadhi ya wananchi wakiwa wamesha bomoa nyumba zao zilizo katika Bonde la mto Msimbazi, mtaa wa Magomeni Sunna jijini Dar es salaam, kabla ya serikali kuanza kuzibomoa nyumba hizo ifikapo tarehe 5 januari 2016

 

11 years ago

Mwananchi

Korti Dar yatoa amri mirathi ya Wakili Komba

Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imezuia wasimamizi wa mirathi wa aliyewahi kuwa Mwanasheria wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi, (TACAIDS) Samweli Komba, Sara Joseph na Agness Komba, au yeyote wa upande wao kujihusisha na makazi ya Editha Majura, mzazi mwenzake na marehemu Komba.

 

9 years ago

Mwananchi

Bomoabomoa kubwa yaja Dar

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi leo inaanza kubomoa nyumba zilizojengwa bila kufuata utaratibu kwenye maeneo ya wazi na hifadhi za barabara katika Manispaa ya Kinondoni kuanzia kesho.

 

9 years ago

Habarileo

Bomoabomoa Dar yashika kasi

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakishirikiana na Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, jana iliendesha bomoabomoa ya nyumba zilizojengwa bila kufuata taratibu za ujenzi katika Manispaa hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani