Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Korti Dar yatoa amri mirathi ya Wakili Komba

Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imezuia wasimamizi wa mirathi wa aliyewahi kuwa Mwanasheria wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi, (TACAIDS) Samweli Komba, Sara Joseph na Agness Komba, au yeyote wa upande wao kujihusisha na makazi ya Editha Majura, mzazi mwenzake na marehemu Komba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

HATA WANAWAKE WANAWEZA KUANDIKA MIRATHI -WAKILI SUZANA SENSO

 WAKILI Suzana Senso akizungumza wakati akitoa mada  ya nafasi ya mwanamke kwenye urithi wa mirathi maadhimisho ya siku ya wanawake duniani  iliyofanyika kwenye viwanja vya Nkende Manispaa ya Musoma mjini iliyokuwa na kauli mbiu ya Kizazi cha Usawa kwa maendeleo ya Tanzania ya Sasa nay a Baadae MEZA Kuu wakifuatilia matukio mbalimbali kwenye maadhimisho hayo kushoto ni Mwenyekiti wa UWT Taifa Gaudance Kabaka akifuatiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara Caroline Matapula na  Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

KAMA HAMUELEWANI JUU YA MSIMAMIZI MIRATHI INARUHUSIWA NYOTE KUOMBA KUSIMAMIA MIRATHI

Na  Bashir  Yakub.
Mara  kadhaa kwenye  familia  mbalimbali   kumekuwa hakuna  maelewano  juu  ya  nani  asimamie  mirathi. Unakuta  wapo  wanaomkubali  fulani  asimamie  na  wapo  wanomkataa  wakimtaka   fulani  mwingine  ndiye  asimamie.  Hii   huwa  na  athari  kubwa sana  kwa  warithi  hasa  watoto  kama  wanasoma  ambao  kimsingi  hutakiwa kutumia mali  zile katika  mahitaji  ya  msingi  kama  ada  na  mahitaji  mengine muhimu ya  kiustawi. 
Tumeshashuhudia  mara  nyingi  watoto  wakiacha...

 

11 years ago

Habarileo

Mahakama yatoa amri mazishi ya Profesa

MAHAKAMA ya Wilaya Tarime, imeamuru mwili wa Profesa Patropher Ondiek (78) usubiri siku 10 zaidi kuzikwa ili watoto wake wahudhurie maziko. Akisoma hukumu juzi kutokana na shauri la madai lililofunguliwa na mke wa marehemu, Luth Mary Ondiek, Hakimu wa Wilaya Amworo Odira alisema uamuzi huo umetokana na wanafamilia kukubaliana.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Serikali ya Rwanda yatoa chakula kwa walioathiriwa na amri ya kukaa nyumbani

Famalia zilizoathiriwa na sheria ya kukaa nyumbani , nchini Rwanda zimeanza kupokea msaada wa Chakula kutoka kwa serikali ya nchi hiyo.

 

5 years ago

CCM Blog

MAHAKAMA KUU YA KENYA YATOA AMRI KUSITISHWA SAFARI ZA NDEGE KUTOKA CHINA

  Mahakama Kuu ya Kenya imetoa amri ya kusitishwa kwa muda ndege zote kutoka China zinazoingia katika nchi hiyo  kufuatia kesi kuhusu virusi vya Corona iliyowasilishwa na chama cha mawakili wa nchi hiyo.
Amri hiyo ya Mahakama Kuu ya Kenya inataka kusitishwa kuingia nchini humo ndege kutoka China kwa kipindi cha siku kumi.
Akitoa hukumu yake leo Jaji James Makau ameziagiza Wizara ya Usalama wa Ndani na ya Afya kuwatafuta abiria wote 239 waliowasili nchini Kenya kutoka China kupitia uwanja wa...

 

5 years ago

Michuzi

Mahakama Kuu ya Kenya yatoa amri ya kusitishwa ndege zote kutoka China

Rais Uhuru Kenyatta
Mahakama Kuu ya Kenya imetoa amri ya kusitishwa kwa muda ndege zote kutoka China zinazoingia katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki kufuatia kesi kuhusu virusi vya Corona iliyowasilishwa na chama cha mawakili wa nchi hiyo.

Amri hiyo ya Mahakama Kuu ya Kenya inataka kusitishwa kuingia nchini humo ndege kutoka China kwa kipindi cha siku kumi.

Akitoa hukumu yake leo Jaji James Makau ameziagiza Wizara ya Usalama wa Ndani na ya Afya kuwatafuta abiria wote 239 waliowasili nchini...

 

9 years ago

Mwananchi

Korti yazuia bomoabomoa Dar es Salaam

Wakati NEMC ikianza tena ubomoaji wa nyumba zilizoko kwenye maeneo ya mabondeni, Mahakama Kuu imeifunga mikono Serikali kwa muda kuendelea na operesheni hiyo kwa wakazi 674 waliofungua kesi kupinga bomoabomoa.

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE, WAKILI MAKENE WACHUKUA FOMU UBUNGE KINONDONI DAR

Steve Nyerere akijaza jina lake kwenye daftari la wagombea ubunge kabla ya kukabidhiwa fomu. Wasanii wa maigizo Bongo, Catherine Rupia 'Cathy' (katikati) pamoja na Ndumbagwe Misayo 'Thea' wakishudia uchukuaji fomu hiyo. Steve Nyerere (kulia) akionesha fomu baada ya kukabidhiwa na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi,…

 

10 years ago

Dewji Blog

Wakili Elias Nawera achukua fomu za kuwania Ubunge jimbo la Kawe Jijini Dar

Wakili Elias Nawera akionyesha alama ya dole baada ya kukabidhiwa fomu hizo. Kulia ni mgombea ubunge mkoa wa Dar es Salaam kupitia Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Lilian Mkosani.  Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kinondoni, Athuman Sheshe (kushoto), akimkabidhi fomu ya kugombea ubunge jimbo la Kawe, kada wa chama hicho, Wakili Elias Nawera (katikati), Dar es Salaam leo mchana. Kulia ni mgombea ubunge mkoa wa Dar es Salaam kupitia Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani